TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Wamuulize babu chande kuhusu nguvu ya ummaHizo sms zao tungekuwa tunaweza kureply, wangelowa kwa genye
Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!
Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.
Wamkamate Sheikh Mwaipopo anayemiliki MAGENGE ya WAHUNI ambao wanataka kuvuruga amani.Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!
Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.
Mkuu nakuona tu kwenye nyuzi za namna hii tu, sijawahi kukuona kwenye nyuzi zingine za kijingajinga.Hata mimi hawa wamenitumia
Mimi nimepata ya tunza HAKI NA AMANIWamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!
Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.
Na haki anatunza nani ?tunza amani papasi wewe sasa shupaza shingo uone
Hawa watu wanakera sana, wao neno haki ni mwiko kwao wanahubiri amani wakati wanateka na kuua watu wasio na hatia. Matendo yao maovu ndiyo yanavunja amaniMkuu nakuona tu kwenye nyuzi za namna hii tu, sijawahi kukuona kwenye nyuzi zingine za kijingajinga.
Samia ame-panic kishenzi!Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!
Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.
Tanzania ni yetu sote,!!Aseee🧐.
watajua wenyeweHii ya Maandamano ni Miradi ya Watu Serikalini Serikalini. Wameshatengewa mafungu ya kufanya yote hayo.. Matumizi mabaya ya kodi za Wananchi. Mradi mwingine ulotengewa Mabilioni ya shilingi ni NEVER AGAIN Mradi ambao ulibuma baada ya CHADEMA kuanza Ziara. Walinunua tshirt, Saa, cover za simu mabango ya Never again wakasambaza Nchi nzima... Sijui ni never again kwamba hawataua tena, siwaelewi