Nikupe siri moja. Jikaze tu mpotezee najua kama unampenda kweli itakuwa ngumu. Jitahidi tu jikaze tu kama wiki moja bila mawasiliano yoyote mpotezee utaona.
Mimi nilikuwa obsessed na kadem kamoja kakajuwa kashaniwin kisaikolojia. Nikajitahid wiki mzima kumpotezea. Baada ya hapo akawa anaangaika kunitafuta nampotezea tu text zake kwenye WhatsApp nachukua mda kuzisoma na sizijibu na niko online WhatsApp. Na ikifikia usiku saa moja usiku natoka online WhatsApp natumia simu nyingine haijui namba ili kuwepo JF kutukanana na kina
adriz na
Chaliifrancisco.
Kuna siku alinifurumisha na matusi na kuniambia go back tu Africa. Yani nilifurahi nakurukaruka jinsi alivyo kuwa ananitukana.
Hii story hata maghayo anaifahamu