Hivi na nyie mnagombana na ma baby zenu kila siku?

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Mbona kama wangu kazidi haipiti wiki hatujagombana japo najijua mi ndo mkorofi,lakini ananikwaza jamani hanipi mda!!!! Mda wore busy tu inawezekana jamani kuongea ni usiku tu, sasa hapa nimempigia nikakuta call waiting nime mkejeri tu msalimie baby oneni alivyonijibu.

 
Vipi umeishamzalia maana naepuka single mother! Kama bado njoo tuyajenge kwa maana hakuna namna!
 
Mwanamke ana masikio matatu.
Lile la tatu lisipoziburiwa, kisirani kama kawa.
 
Nikupe siri moja. Jikaze tu mpotezee najua kama unampenda kweli itakuwa ngumu. Jitahidi tu jikaze tu kama wiki moja bila mawasiliano yoyote mpotezee utaona.

Mimi nilikuwa obsessed na kadem kamoja kakajuwa kashaniwin kisaikolojia. Nikajitahid wiki mzima kumpotezea. Baada ya hapo akawa anaangaika kunitafuta nampotezea tu text zake kwenye WhatsApp nachukua mda kuzisoma na sizijibu na niko online WhatsApp. Na ikifikia usiku saa moja usiku natoka online WhatsApp natumia simu nyingine haijui namba ili kuwepo JF kutukanana na kina adriz na Chaliifrancisco.

Kuna siku alinifurumisha na matusi na kuniambia go back tu Africa. Yani nilifurahi nakurukaruka jinsi alivyo kuwa ananitukana.

Hii story hata maghayo anaifahamu

Poor Brain
 
Kama hajakutoa bikra mtagombana mpaka kihama

Wanaume .........tunaheshimu bikra tu........
 
Mbrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
go back to africa ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ