Hivi na nyie mnagombana na ma baby zenu kila siku?

Sad truth ni kwamba hakuna mapenzi hapo, Jamaa anakuchukulia poa sana. Do yourself a favor and leave.
 
Hawa nao ni wapenzi au ni washikaji tu?
 
Mbona kama amesema kuna mahali anakupendea, namshauri ashikilie hapo hapo anapokupendea huku kwingine ataumia
 
Mnataka kuchart muda wote nyie ni madalali ???? Ulisema wewe mkubwa na yeye ni mdogo Lakin hapa Inaonyesha wewe ndiye mtoto
 
Wahusika wote wanaonekana ni makauzu, na hawawezi achana kwa style hio. Siku zote ni ngumu kuona washikaji wanapoteana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…