Hivi na nyie wenza zenu ni wambea kama huyu wangu? Haba kaba! Anapenda umbea sana

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu.

Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki.

Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu?

Note: Umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
 
Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu.
Nishamuonya na wakti mwingine kumzaba mabao lkn mtu habadiliki.
Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu?

Note:umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
Huyo mwenza wako ni Mzaramu, Mndengereko au Mkwere nini, maana kuna jamii zingine si za kuwa nao kwenye mahusiano kabisa ni wa kuwaangalia tu kwani hata ukipiga mara moja na kuacha lazima watasimulia wenzao na kukuwinda mitaani ili wakuulize kama ni kweli waliyosikia juu yako kunako 6 X 10..
 
IMG-20250823-WA0126.jpg
 
Wewe ndio mmbeya kwanini kila siri lazima umueleze? Si ukae nayo mwenyewe?
 
Katika mapito yako yote ya kielimu, kiutafutaji, kimapenzi na kiimani hujakutana na mali safi hadi ukamspot mwanamke mbea?
 
Huyo mwenza wako ni Mzaramu, Mndengereko au Mkwere nini, maana kuna jamii zingine si za kuwa nao kwenye mahusiano kabisa ni wa kuwaangalia tu kwani hata ukipiga mara moja na kuacha lazima watasimulia wenzao na kukuwinda mitaani ili wakuulize kama ni kweli waliyosikia juu yako kunako 6 X 10..
Jamii za Pwani na umbea ni pete na kidole si wa kiume si wa kike.

Ukianza nae mahusiano atakusimulia yote unayotaka na usiyotaka kujua.
 
Mfungulie biashara itakayomfanya awe busy, itamsaidia kukosa muda wa kwenda kupiga umbea na mabestie zake 😅

Kingine jaribu kumpa muda wako

Mwanamke ana asili ya umbea, kinachotakiwa ni wewe ukirudi Kazini uwe unakaa naye

Atakusimulia umbeya woote alionao badala ya kuupeleka mtaa wa pili

Hata Bibi yenu pia akipata umbeya wowote, hata kama nitakuwa kwenye kikao ofisini

Basi atanitumia meseji, ukimaliza kikao nipigie nikupe umbeya

Basi ukimpigia, ataanza unajua fulani.......basi umbeya wote atanipatia

Jukumu langu ni kumwitikia tu...wewe kweli, eeh ikawaje .....😅

Tuishi nao Kwa akili
 
Katika mapito yako yote ya kielimu, kiutafutaji, kimapenzi na kiimani hujakutana na mali safi hadi ukamspot mwanamke mbea?
Umbeya ni asili ya Wanawake Mkuu

Kuna Siku, natoka job nakuta nyumbani ugeni

Mama mchungaji amekuja kupiga umbeya na Bibi yenu

Ni kama vile wanakuwa wanawashwa makoo Kwa umbeya 😅
 
Mfungulie biashara itakayomfanya awe busy, itamsaidia kukosa muda wa kwenda kupiga umbea na mabestie zake 😅

Kingine jaribu kumpa muda wako

Mwanamke ana asili ya umbea, kinachotakiwa ni wewe ukirudi Kazini uwe unakaa naye

Atakusimulia umbeya woote alionao badala ya kuupeleka mtaa wa pili

Hata Bibi yenu pia akipata umbeya wowote, hata kama nitakuwa kwenye kikao ofisini

Basi atanitumia meseji, ukimaliza kikao nipigie nikupe umbeya

Basi ukimpigia, ataanza unajua fulani.......basi umbeya wote atanipatia

Jukumu langu ni kumwitikia tu...wewe kweli, eeh ikawaje .....😅

Tuishi nao Kwa akili
Sema hawa wanawake wakiwa free sana kwako wanafunguka fresh tu!
 
Umbeya ni asili ya Wanawake Mkuu

Kuna Siku, natoka job nakuta nyumbani ugeni

Mama mchungaji amekuja kupiga umbeya na Bibi yenu

Ni kama vile wanakuwa wanawashwa makoo Kwa umbeya 😅
Kama ni wewe na yeye haina shida kibaya ni ile akiwa anaongea huko nje!
 
Sema hawa wanawake wakiwa free sana kwako wanafunguka fresh tu!
Ni kweli Mkuu

Mfanye awe mshikaji ako

Hata ikitokea kuna mdau anamwomba mzigo haachi kuja kukueleza

Utasikia eti Mzee Grahams si ananiomba mzigo

Hivi na umri wote ule hata haoni aibu 😅

Akiwa mshaikaji wako, mtajikuta hata ugomvi hautokei mara nyingi na wakati mwingine hamgombani hata Mwaka mzima
 
Back
Top Bottom