Hivi na nyie wenza zenu ni wambea kama huyu wangu? Haba kaba! Anapenda umbea sana

Hivi na nyie wenza zenu ni wambea kama huyu wangu? Haba kaba! Anapenda umbea sana

Kama ni wewe na yeye haina shida kibaya ni ile akiwa anaongea huko nje!
Hiyo ya kwenda kuongea huko nje hata mwenyewe siipendi na nilishampiga marufuku kitambo

Nikamwambia unajua hapa Mjini ukipiga umbeya wanakuja kukusuta na vigoma vya kizaramo

Sasa na Uzee wote huu huoni itakuwa aibu kusutwa na mabinti wa Mwaka 2000 😅
 
Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu.
Nishamuonya na wakti mwingine kumzaba mabao lkn mtu habadiliki.
Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu?

Note:umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
Umepewa mke wa kufanana naye..!! Pipa na mfuniko, a.k.a mbea mwenzio. Mmekutana wote wambea. Kama wewe si mbea mwenzie, unaanzaje kumwambia siri ulizoshindwa kukaa nazo halafu utegemee yeye akae nazo..!!?? YAANI HAPO PIGA UA MMEKUTANA WAPASHKUNA WATUPU

cc Amehlo
 
Umepewa mke wa kufanana naye..!! Pipa na mfuniko, a.k.a mbea mwenzio. Mmekutana wote wambea. Kama wewe si mbea mwenzie, unaanzaje kumwambia siri ulizoshindwa kukaa nazo halafu utegemee yeye akae nazo..!!?? YAANI HAPO PIGA UA MMEKUTA
Hahahaha😁😂😂😂😂
 
Hilo ni tatizo ninao hapa ni majobless wadada wambea hatari.

Kuna anko mmoja naweza kukaa miez hata mitatu sijakaa nao bhas huyo anko mdogo tu wa kike nae.
Bhas ananiambia naomba buku nikupe umbea ukimpa anakupa umbea wa wale wadada wa miez yote mitatu kuhusu Mimi

Nabaki nacheka tu
 
Wananunua sare kabisa ya kuja kukusutia
Kabisa Mkuu, nashukuru alinielewa

Kwahiyo yeye akipata umbeya hata kama itakuwa saa 7 za Usiku utasikia Mume wangu amka nikupe umbeya😅

Ila Wanawake, unaweza kukuta hata Kwa Bwana shetani(yule nyoka) pale bustanini alikuwa ameenda kupiga umbeya Kwa shetani baada ya kuona mumewe Adam yupo busy na kuwinda vitoweo vya nyama za Kanga

Akasema bora aende kupiga umbeya na nyoka, mwisho wa Siku akapewa na Tunda akala 🤗
 
Shetani nae mkarimu akampa na tunda kabisa ili kesho tena harudi 😂
 
Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu.
Nishamuonya na wakti mwingine kumzaba mabao lkn mtu habadiliki.
Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu?

Note:umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
Re
 
huo ndio udhaifu wa kibinadamu
 
Religion?,anafanya shughuli yoyote ya kuzalisha mali?, anakwenda saluni? ,kiwango chake cha elimu?,mnaishi ktk chumba au nyumba nzima?, mna usafir auni watu wa boda boda? Ni kabila gani? Mpo jirani na kwao au na ndugu zake? Ukijibu dondoo/ maswali hayo walau tuaweza kukushauri.Angalizo hayo maswali tupate majibu kwa wote wawili ili tujue nani mwenye tatizo
 
Napendaga sana umbea,huwa sipo karibu sana na watu

Sasa huwa nipo na kibinti nikiwa nako kwenye mahusiano huwa napata taarifa zote za kitaa na pia najua kitaa kinanizungumziaje

Huwa nikiachana nako nakosa taarifa kabisa za kitaa
 
Back
Top Bottom