Hivi na wengine huwatokea?

Sikujua kama hauna kichwa Mkuu. Tusameheane.
Tunaongea wenye vichwa.
Sasa wewe mwenye kichwa ilikuaje ukauliza kwali la ajabu hivyo? Ulipaswa kujua sababu kabla hujauliza.
Your "kichwa" is function less au?
 
Haya..mwambie genta naishia
unguja kibanda maiti....(Sebleni)
Maana kakazania kama pemba naenda
Kama unaishia Unguja basi tafadhali endelea tu na mpenda Unguja The ice breaker ila Mimi mpenda wanaoenda Pemba tu kwenye mambo matamu matamu ( hata ephen_ ) anajua ngoja niendelee Kuwavizia waendaji wa huko.

Pemba kutamu nyie asikuambie Mtu na huwa nawashangaa sana nyie mnaopenda kwenda Unguja ambako kumeshazoeleka na kila Mtu.
 
Sasa wewe mwenye kichwa ilikuaje ukauliza kwali la ajabu hivyo? Ulipaswa kujua sababu kabla hujauliza.
Your "kichwa" is function less au?
Taratibu, mbona unaharaka.
Umeiaminisha JF kuwa hauna kichwa. Na ukaniuliza kama nami sina kichwa kama wewe.
Nimekujibu kwamba mimi ninacho, shida iko wapi?
 
Huko pemba alikupeleka mtu au ulimpeleka mtu..?
😂😂
 
Genta! Natumaini utamrudia muumba wako☺️
 
Ma mods wa safari hii inaelekea wana uwezo wa kusoma fikra za watu kiasi cha kujua dhamira ya mtu kuliko hata mtu mwenyewe.

Jana kuna uzi nilicomment 'Mungu ampumzishe Chura Kiziwi maana keshachoka' mods walifuta comment yangu.

Nikabaki nawaza kosa ni kuombea chura mapumziko toka kwa Mungu au kosa ni nini? Chura niliemaanisha mimi ni chura mnyama. Ila mods with their sick thoughts wamehusisha na nini sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…