Kichwa chako hakifanyi kazi ya utambuzi kama wengine wenye navyo?Taratibu, mbona unaharaka.
Umeiaminisha JF kuwa hauna kichwa. Na ukaniuliza kama nami sina kichwa kama wewe.
Nimekujibu kwamba mimi ninacho, shida iko wapi?
Anataka kuiomba kibwege sanaNa kama ni Demu najua utatumia fursa hiyo hiyo pia Kumtongoza ili umalize kabisa Shughuli mapema. Haiombwi hivyo.
Ngoja nikuombe wewe basi ila haitakua kibwege.Anataka kuiomba kibwege sana View attachment 3074042
Ngoja Tuseme, umeshinda ugomvi.. Maana ndiko tunakoelekea ..Ngoja nikuombe wewe basi ila haitakua kibwege.
waliosoma CUBA, wameshakusoma labda hoja zako zinakera!!!!Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna wakati ninapotaka kujibu au kuchangia hoja mbalimbali zinazoibuliwa na wadau humu JF,
.kuna kitu huwa kinanikwaza.
Unakuta kila nikijibu, mara neno nililoandika linafutwa au hata sentensi nzima inafutwa hata kabla ya kumaliza kuandika.
Hii najiuliza ni kifaa changu kina shida au kuna kamchezo kanafanyika?
.Hali hii ni kwangu tu, au na wengine huwatokea?
😳🤣🤣NAMBA MOJA AJAYE NCHINI tupeni nasisi huo utaalamu wa koment kufutwa kabla haijapostiwa