Hivi na wengine huwatokea?

Hivi na wengine huwatokea?

Taratibu, mbona unaharaka.
Umeiaminisha JF kuwa hauna kichwa. Na ukaniuliza kama nami sina kichwa kama wewe.
Nimekujibu kwamba mimi ninacho, shida iko wapi?
Kichwa chako hakifanyi kazi ya utambuzi kama wengine wenye navyo?
 
Na kama ni Demu najua utatumia fursa hiyo hiyo pia Kumtongoza ili umalize kabisa Shughuli mapema. Haiombwi hivyo.
Anataka kuiomba kibwege sana
ac5a7191443b4a2da1789475a039bfa1.jpg
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kuna wakati ninapotaka kujibu au kuchangia hoja mbalimbali zinazoibuliwa na wadau humu JF,
.kuna kitu huwa kinanikwaza.

Unakuta kila nikijibu, mara neno nililoandika linafutwa au hata sentensi nzima inafutwa hata kabla ya kumaliza kuandika.

Hii najiuliza ni kifaa changu kina shida au kuna kamchezo kanafanyika?

.Hali hii ni kwangu tu, au na wengine huwatokea?
waliosoma CUBA, wameshakusoma labda hoja zako zinakera!!!!
 
Back
Top Bottom