Hivi Najma wa EATV kaolewa?

Hivi Najma wa EATV kaolewa?

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Natokea kumkubali sana huyu dada, ni mcheshi halafu ni anapenda comedy fulani.

Kwakweli huwa nampenda na nahisi li moyo limemudondokea. Je, kaolewa?

Fbk_SejVQAAuv4V.jpg
 
Back
Top Bottom