Hivi nancy sumari alimnyima kabisa mb dog

Hivi nancy sumari alimnyima kabisa mb dog

T.
Mb Dg is my favourite Bongo Flavour artist of all times.
Kile ni kipaji adhimu kabisa kutokea tanzania sema hawana bahati walikuja kipindi ambacho biashara ya mziki ilikuwa inahodhiwa na wadosi

Yaani muhindi anakuambia tengeneza albam nitakulipa milioni alafu msanii anakuwa hana haki na kazi zake
 
Mb is talented mpaka sasa hivi kama akipata Meneja mzuri anaweza kuamka.
 
Vigumu sana hiki kizazi kipya kimeshawakataa labda akaimbe kwenye bendi ila kwa sasa vijana wa kizazi hiki hawezi kuwapata huoni kina qchief wanavyohangaika kurudi lkn wapi

Aende kwenye bendi sisi vijana wa wakati ule tunahudhuria sana tu
Mb is talented mpaka sasa hivi kama akipata Menelaus mzuri anaweza kuamka.
 
Weka na kapicha kake huyo Nancy wengine hatumjui mkuu
Jamaa allikuwa ndio diamond wa kipindi kile ilikuwaje akafeli kumnyonyoa huyu kigori alikuwa anaazima hadi magari kwenda kumlia mingo huyu mlimbwende wa taifa au dada kwa kuwa ni mchaga aliona hamna pesa pale
Hadi wimbo akamuimbia.wanaume tumeumbiwa mateso kwa kweli
 
Vigumu sana hiki kizazi kipya kimeshawakataa labda akaimbe kwenye bendi ila kwa sasa vijana wa kizazi hiki hawezi kuwapata huoni kina qchief wanavyohangaika kurudi lkn wapi

Aende kwenye bendi sisi vijana wa wakati ule tunahudhuria sana tu
Ni kuwa tu Tanzania Sana’a bado changa. Watu kama wale ukiwaweka kwenye movie inayohusu mziki itabamba kweli kama Whitney kwenye The Body Guard.
 
Back
Top Bottom