Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
- Thread starter
- #21
Haumzungumzii Amina?
Alikuwa chakula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa chakula?
Soma tena coment yangu, naona ulikuwa hujailewaHaumzungumzii Amina?
Soma tena coment yangu, naona ulikuwa hujailewa
Picha kidogo basi ya Nancy SumariJamaa allikuwa ndio diamond wa kipindi kile ilikuwaje akafeli kumnyonyoa huyu kigori alikuwa anaazima hadi magari kwenda kumlia mingo huyu mlimbwende wa taifa au dada kwa kuwa ni mchaga aliona hamna pesa pale
Hadi wimbo akamuimbia.wanaume tumeumbiwa mateso kwa kweli
Kile ni kipaji adhimu kabisa kutokea tanzania sema hawana bahati walikuja kipindi ambacho biashara ya mziki ilikuwa inahodhiwa na wadosiMb Dg is my favourite Bongo Flavour artist of all times.
Mb is talented mpaka sasa hivi kama akipata Meneja mzuri anaweza kuamka.T.
Kile ni kipaji adhimu kabisa kutokea tanzania sema hawana bahati walikuja kipindi ambacho biashara ya mziki ilikuwa inahodhiwa na wadosi
Yaani muhindi anakuambia tengeneza albam nitakulipa milioni alafu msanii anakuwa hana haki na kazi zake
Mb is talented mpaka sasa hivi kama akipata Menelaus mzuri anaweza kuamka.
Jamaa allikuwa ndio diamond wa kipindi kile ilikuwaje akafeli kumnyonyoa huyu kigori alikuwa anaazima hadi magari kwenda kumlia mingo huyu mlimbwende wa taifa au dada kwa kuwa ni mchaga aliona hamna pesa pale
Hadi wimbo akamuimbia.wanaume tumeumbiwa mateso kwa kweli
Ni kuwa tu Tanzania Sana’a bado changa. Watu kama wale ukiwaweka kwenye movie inayohusu mziki itabamba kweli kama Whitney kwenye The Body Guard.Vigumu sana hiki kizazi kipya kimeshawakataa labda akaimbe kwenye bendi ila kwa sasa vijana wa kizazi hiki hawezi kuwapata huoni kina qchief wanavyohangaika kurudi lkn wapi
Aende kwenye bendi sisi vijana wa wakati ule tunahudhuria sana tu
Ni kuwa tu Tanzania Sana’a bado changa. Watu kama wale ukiwaweka kwenye movie inayohusu mziki itabamba kweli kama Whitney kwenye The Body Guard.
Usimdanganye...zilipendwa huyoMb is talented mpaka sasa hivi kama akipata Meneja mzuri anaweza kuamka.