Kama alikua mrembo wa dunia wa Africa Sisi Nani tupige kwamba miaka 2000-2005 yeye ndo alikua hot cakeHuyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima.
Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia.
Kwasasa naskia kaolewa na muzungu katulia zake baada ya kuwanyoosha mabitozi wa dasalama.
Hivi ni kweli alikuwa mzuri Tz nzima au wanadasalama walikuwa hawaoni vizuri?View attachment 3474878View attachment 3474879
Kwanini umemchomeka Esta Bulaya? Au ulijua hatutaona!1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Shishi baby
9. Rehema Sombi
10. Zuchu
Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Mzee naona unamuelewa sana Shishi Baby adi umemuandika mara mbili.1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Shishi baby
9. Rehema Sombi
10. Zuchu
Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Unataja machawa wenzio au pisi kali?1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Shishi baby
9. Rehema Sombi
10. Zuchu
Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Zuchu hamna kitu muleeeKwanini umemchomeka Esta Bulaya? Au ulijua hatutaona!
Kama hayupo demu wangu Malaika basi tuanze upya1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Shishi baby
9. Rehema Sombi
10. Zuchu
Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Nilitaka nimuweke Niffer nikajisahau. tayari kuna Niffer kwenye namba 8Mzee naona unamuelewa sana Shishi Baby adi umemuandika mara mbili.
Inasikitisha sanaUnataja machawa wenzio au pisi kali?
Ni mremboKwanini umemchomeka Esta Bulaya? Au ulijua hatutaona!
Hahaha 🤣 Hilo goma linapenda Vijana wadogo..ambayo hupenda kuwapanda kichwanii. Nuhu mziwanda kapigwa pigwa sana na hiyo mshangaziMzee naona unamuelewa sana Shishi Baby adi umemuandika mara mbili.
Kama hata zuchu naye ni mrembo basi huenda mimi sijui maana ya urembo1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Niffer
9. Rehema Sombi
10. Zuchu
Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Mh! Hii Hawa wakina jack jack mbona ni ma men mkuu 🤔Zuchu hamna kitu muleee
Sijui kwa nini wanapendaga kumpaisha..
Anazidiwa na wengi kwa uchache nandy, lulu, mdogo wake na v money, v money mwenyewe, jackline ntuyabaliwe, kina odemba, odama, jini kabula, nyamayao, jack pemba, jack unguja, jack umeme, Rashida wanjara,
Kwa uchache hao wote tajwa wanamzidi LULU..
Kulikua na wadada miaka ya nyuma walikuaga Wana tumia hiyo nickname.Mh! Hii Hawa wakina jack jack mbona ni ma men mkuu 🤔
Kwaio mkuu inabiti tuweke SI UNIT ya urembo😊😊😊Kama hata zuchu naye ni mrembo basi huenda mimi sijui maana ya urembo
Mashindano ya urembo ni zaidi ya uzuri. Ingekuwa ni uzuri tu basi mtaani huko kuna wengi wazuri.Huyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima.