Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,394
- 13,476
mkuu nancy kisu, miaka nenda miaka rudi. Kanikera tu alipojiingiza kwenye siasa kama mme wakeHuyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima.
Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia.
Kwasasa naskia kaolewa na muzungu katulia zake baada ya kuwanyoosha mabitozi wa dasalama.
Hivi ni kweli alikuwa mzuri Tz nzima au wanadasalama walikuwa hawaoni vizuri?View attachment 3474878View attachment 3474879