mkuu nancy kisu, miaka nenda miaka rudi. Kanikera tu alipojiingiza kwenye siasa kama mme wakeHuyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima.
Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia.
Kwasasa naskia kaolewa na muzungu katulia zake baada ya kuwanyoosha mabitozi wa dasalama.
Hivi ni kweli alikuwa mzuri Tz nzima au wanadasalama walikuwa hawaoni vizuri?View attachment 3474878View attachment 3474879
Ameolewa na jamaa mmoja alikuwa diwani msasani anaitwa Luka lakini pia huyo jamaa alikuwa anafanya kazi sport pesa now ameacha na sio mzungu ni mhindi yule bwanaHuyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima.
Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia.
Kwasasa naskia kaolewa na muzungu katulia zake baada ya kuwanyoosha mabitozi wa dasalama.
Hivi ni kweli alikuwa mzuri Tz nzima au wanadasalama walikuwa hawaoni vizuri?View attachment 3474878View attachment 3474879
Matutusa namba 2 na 6 umezingua1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Niffer
9. Rehema Sombi
10. Zuchu
Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Kuna mmoja kwenye stanza za fid a enzi izo kwenye wimbo wa malkia ft lady jay dee
Kwenye stanza fid q alitaja jina la SILVIA BAHAME
Simkumbuki vizuri hope atakua alikuaga moja ya ma miss TANZANIA back in Time.
Hicho ndicho kitu kinachonichanganya jamaa katumia SI unit gani labda urembo wa mtu inategemea macho ya muonaji pamoja na moyo wakeKwaio mkuu inabiti tuweke SI UNIT ya uremboπππ
daah enzi hizo tulikua na madada kweli sio wauza k wa siku hiziView attachment 3474974Alikuwa miss Tz 2003 aliwahi kusumbuliwa na mb dogg akampeleka polisi.
Zuchu akiikalia utafurahi anajua kuifinyia kwa ndani yote anaacha makende tu yapate hewaZuchu hamna kitu muleee
Sijui kwa nini wanapendaga kumpaisha..
Anazidiwa na wengi kwa uchache nandy, lulu, mdogo wake na v money, v money mwenyewe, jackline ntuyabaliwe, kina odemba, odama, jini kabula, nyamayao, jack pemba, jack unguja, jack umeme, Rashida wanjara,
Kwa uchache hao wote tajwa wanamzidi LULU..
Kwanini bobMwanamke akiwa na bwana wa kizungu mi namuona tofauti sana, kama ni disgusting a little bit. In short, siwezi kuwa na demu ambaye ashawahi kulala na mzungu.
Tenda mema usingoje Shukhrani cheka na Watu wote MUZAMILI KATUNZI.Kulikua na wadada miaka ya nyuma walikuaga Wana tumia hiyo nickname.
Mwenye pichΓ hii ndie jack umeme..
Anaduka hata hapo ILALA
View attachment 3474961
View attachment 3474963
NB.
Wewe utakua unamzungumzia YULE JACK PEMBA alie kuaga ana mwaga mapesa kwenye bendi ya KAPUYA ENZI IZO AKUDO IMPACT MUSIC BAND?!
Ya kweli hayoView attachment 3474974Alikuwa miss Tz 2003 aliwahi kusumbuliwa na mb dogg akampeleka polisi.
Si ndiyo list yake? Nawe andika yako ambayo unaona Bulaya hapaswi kuwepo.Kwanini umemchomeka Esta Bulaya? Au ulijua hatutaona!
Beer holderBeauty is in the eye of the beholder, or beer holder.
Wewe jamaa unaonekana ni mlugaluga sana.1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Niffer
9. Rehema Sombi
10. Zuchu
Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Haaahaa π matunga pesaaaaaTenda mema usingoje Shukhrani cheka na Watu wote MUZAMILI KATUNZI.