Hivi Nancy Sumari ndio alikuwa mwanamke mrembo Tanzania nzima?

Mzungu muhindi unawajua unawasikia kuoa ngozi nyeusi kwanza mila zao wanawake ndo wanawatolea mahari wanaume
Labda chotara wa kizungu na kihindi, mbona simuoni km mzungu. Lol
 
1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Niffer
9. Rehema Sombi
10. Zuchu

Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Umsemsahau Angela kiziga fala wewe
 
Sylivia Bahame yuko South Africa, ni 1 ksti ya miss Tz pendwa kwangu, akiwepo na Huyu Nancy.
Miss Tanzania wenye akili timamu;
1. Richa Adhia
2. Hoyce Temu
3. Jaqlin Ntuyabaliwe
4. Sylvia Bahame
5. Basila Mwanukuzi
6. Nancy Sumari
7. Faraja Kotta
8. Jokate Vunjabei

Wasio na akili;
1. Wema Sepetu
2. Irene
3. Anti Ezekiel
 
Miss Tanzania wenye akili timamu;
1. Richa Adhia
2. Hoyce Temu
3. Jaqlin Ntuyabaliwe
4. Sylvia Bahame
5. Basila Mwanukuzi
6. Nancy Sumari
7. Faraja Kotta
8. Jokate Vunjabei

Wasio na akili;
1. Wema Sepetu
2. Irene
3. Anti Ezekiel
Mie nawapenda, Sylvia, Hoyce, Nancy na Faraja,

Jack sio kivileee.
 
1. Irene Uwoya
2. Shishi baby
3. Nancy Sumari
4. Esther Bulaya
5. Jokate Mwegelo
6. Angela Kairuki
7. Welu Sengo
8. Niffer
9. Rehema Sombi
10. Zuchu

Hiyo ndo orodha yangu tukufu ya wanawake maarufu warembo wa kuvutia.
Bona kamoli mbunge wa segerea ile chuma ni hatareee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…