Hivi nani anaegharamia pesa haya mashindano ya SHIMIWI

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Ni mashindano yameanzishwa muda mrefu leo hii nazani ni kwa mara ya kwanza yamefanyika mkoa wa iringa

Nimeona watu ni wengi ambao ni wafanyakazi zaidi ya watu 3000 wamesafirishwa kutoka nchi nzima watakaa hapa kwa siku 14

Naomba kuuliza hizi gharama zakuwatunza hawa watu zinatoka wapi kula na kulala
 
Wakurugenzi na mapato ya ndani ya halmashauri

Tumieni fursa kupata hela hizo huku mkifurahia na wafanyakazi katika michezo

MICHEZO NI FURAHA AFYA NA AJIRA
 
Haya Mambo yalifutwa mda fulani...
 
Acheni wivu wakuu. Kwahiyo wafanyakazi wasicheze!?
 
Ihefu sports Club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…