Hivi, nani anatakiwa kuchinja nyama?


Mimi nawashukuru sana ndugu zetu Wakristo, hua mnajua ukweli. Kwasababu sisi waislamu hatuwalizimishi kwa hilo, na wala sio sheria ya nchi, ila sisi, mnyama au ndege yoyote akichinjwa bila idhini ya Mwenyezi Mungu, hua sisi hatuli. Hatugambani wala kusumbua na mtu. Huo ndio msimamo wetu mpaka mwisho wa Dunia.

kwa hiyo sio kama sisi tunawakatalia kuchinja, ila muislamu akijua kua nyama anayo kula haikuchinjwa na Muislamu, ndio basi tena. Hutamuona tena akila na wewe. Reason de facto.


 
Kwa hiyo haram ya kuchinja kwa Wayahudi na Wakristo si maelekezo ya allah bali ni mambo ya kujitungia wenyewe?
 
uislamu ni dini yenye utaratibu kwa kila jambo. Hivyo kwa dini ambazo hazina utaratibu, mtatusamehe. Simply hatuli nyama zilizo chinjwa na wasio kua waislamu kwa sababu kwetu nyama hizo ni vibudu kwa kua zimechinjwa bila kuomba idhini ya muumba.

Wacha zako hizo za kuleta!Toa ushahidi wa ayat ndani ya Qurani inayo zuia Mkristo asichinje!Si useme tu kuwa mna uchu wa nyama kwa sana!



Kwa hiyo haram ya kuchinja kwa Wayahudi na Wakristo si maelekezo ya allah bali ni mambo ya kujitungia wenyewe?

sasa mgen huelewi nini hapa. Mbona hizi sio hesabu. Au what is your problem exactly. NDIO HIVYO NDUGU YANGU. WAISLAMU HATULI KISICHO CHINJWA BILA IDHINI YA MWENYEZI MUNGU. (ALLAH S.W). NA WALA HATUNA UGOMVI NA MTU KATIKA HILO. HAYO NDIO MAFUNDISHO YETU. THE DIFFERENCE BTN US IS SO OBVIOUS, MGEN, YOU KNOW IT. HATULI NGURUWE, HATUNYWI POMBE, HATUFANYI IBADA KWA MIZIKI, HATUTEMBEI NUSU UCHI. MUNGU NI MMOJA, MUNGU WAKWELI HAWEZI KUDHALILISHWA NA VIUMBE VYAKE KWA NAMNA YOYOTE. HATURUHUSIWA KUDHULUMU AU KUKUBALI KUDHULUMIWA.
 
 
Anaetakiwa kuchinja ni yule atakaefanya kazi hiyo bila kutamka tambiko lolote la ki maagano ya kuzimu
 
Rejea ya muislamu muumini ni qaraa, hadith, na miratul rasul na sio dhana ya mukichwa! Mada inaelezea kuchinja, ndipo nikarejea ndani ya qaraa suratul maida anza kusoma kuanzia verse 1mpaka 5 pamoja na sherehe sikuona zuio la allah kwa muislamu asile alichochinja Myahudi wala Mkristo! Sasa unaleta hutba mara nguruwe, anzisha uzi tuwafundishe!
 
Ina maana muislam akisafiri kwenda nje ya nchi mfano Kenya, atajuaje kuwa nyama ya hotelini ilichinjwa na muislam? mambo mengine siyo ya kuendekeza...
 
ina maana muislam akisafiri kwenda nje ya nchi mfano kenya, atajuaje kuwa nyama ya hotelini ilichinjwa na muislam? Mambo mengine siyo ya kuendekeza...

Dunia nzima wanajua kuhusu imani ya waislamu katika kuchinja, ndio maana hata ulaya, wanauza halal meat. Mji wowote na hoteli yoyote wanaheshimu hilo, vinginevyo waislamu wanaziepuka sehemu hizo. Kumbuka muislamu hapati dhambi kwa kufanya jambo bila kujua, akiwa ameshututishwa, akiwa amerukwa na akili, akiwa haja baleghe na akiwa anaota. So sio burden sana kwetu. Hua sisi tunahukumiwa kwa nia zaidi na sio matokeo.

Kwa wale wanasheria nadhani wanajua tofauti ya actus reus na mens rea. Need i say more??
 

Ina maana muislam akisafiri kwenda nje ya nchi mfano Kenya, atajuaje kuwa nyama ya hotelini ilichinjwa na muislam? mambo mengine siyo ya kuendekeza...


MGEN ACHA KUZUGA, ZINGATIA UNAYO AMBIWA, TIME FACTOR.

Dunia nzima wanajua kuhusu imani ya waislamu katika kuchinja, ndio maana hata ulaya, wanauza halal meat. Mji wowote na hoteli yoyote wanaheshimu hilo, vinginevyo waislamu wanaziepuka sehemu hizo. Kumbuka muislamu hapati dhambi kwa kufanya jambo bila kujua, akiwa ameshurutishwa, akiwa amerukwa na akili, akiwa haja baleghe na akiwa anaota. So sio burden sana kwetu. Hua sisi tunahukumiwa kwa nia zaidi na sio matokeo.

Kwa wale wanasheria nadhani wanajua tofauti ya actus reus na mens rea. Need I say more??
 

Kuchinja kumepitwa na wakati. Siku hizi ni kunyonga tu!
 
kwa hiyo dunia nzima wakikiuka maarisho ya allah wewe utaifuata dunia au allah? Sasa anaezuga hapo ni na kati allah na wewe? Au nikubaliane na wewe allah maelekezo yake ni uongo, sawa?
 

WANADAMU Wote wanaruhusiwa kuchinja, hii ndio sifa kuu, wala sio dini
 
kwa hiyo dunia nzima wakikiuka maarisho ya allah wewe utaifuata dunia au allah? Sasa anaezuga hapo ni na kati allah na wewe? Au nikubaliane na wewe allah maelekezo yake ni uongo, sawa?

Mgen, age please? if necessary education level?
 
T
Mgen, age please? if necessary education level?
Thou a sinner does evil hundred times and prolong his life, yet i know that it wil be well with those who fear God because they fear before him; but it will not be well with the wicked, neither will he prolong his days like a shadow, because he does not fear God. (Eccles9:12)See to it that no one makes a pray of you by philosophy and empty deceit, according to human traditions, according to elemental spirits of universe, and not according to Christ.(Col2:8)
 



And ye shall know the truth, and the truth shall make you free. JOHN 8:32
 
And ye shall know the truth, and the truth shall make you free. JOHN 8:32
Umeshaelewa! sasa unataka ukweli ukuweke huru!"Na kwa KWELI Yesu ni Alama ya kiama msikifanyie shaka mfuateni HII NDIO NJIA ILIYONYOOKA." (Az-zukhuruf61)"Wala asikuzuieni shetani; bila shaka kwenu yeye ni adui aliye dhahiri (Q43:62)Muhammad alisema: "Kwa yeye ambaye mkononi mwake moyo wangu upo Yesu atashuka miongoni mwenu kama mtawala wa haki!Shehe Mganga dalili hizo hapo! Okoa Roho yako njoo kwa Yesu akunusuru moto wa allah!
 
Siku hizi machine ndio inachinja......
 
Hili suala nadhani sasa mnajua nilikuwa sivumishi tu. Nilikutana nalo makete nilipoenda kikazi nikilisikia wakati wa utoaji maoni ya katiba. Sasa hivi wengine wamefikia hatua ya kuwalaza ndani wachungaji waliochinja nyama kwenye shughuli zao za nyumbani. Yanayotoke kanda ya ziwa yameonesha mwelekeo wa nchi nzima. Bila busara katika utatuzi wa mambo haya tutatengeana hata mitaa ya kuishi. Inakuwaje kulazimishana mambo ya ukoo wangu na wewe uhusike? Kuna ulazima wa wewe kula? Kama ni ibada, inafanyika wakati wa kuchinja mifugo tu? Na viongozi wetu wenye akila kama wasira hawakutakiwa kabisa kuhusika na mgogoro kama huu kwani wanazidi kuuchochea badala ya kuumaliza!
 
mnyama akichinja Mkristo, Muislam hali (anaiita kibudu yaani si Halal) lakini Mkristo hana kikwazo kwa kiasi kikubwa hivyo 'tukakubaliana' kwamba waislam wachinje na kila machinjio awepo mtu wa Bakwata kwa ajili ya kuchinja na kukusanya ushuru. Tatizo lipo hivi: wapo waislam wachache mtaani wamekuwa wakijitapa kwa miaka yote hiyo kwamba kuchinja ni sehemu ya ibada ya kiislam na wakristo kula nyama iliyochinjwa na muislam basi by default wameshiriki ibada ila kwa miaka yote hiyo tumepuuza na kuvumilia hili. Hakuna sheria inayo-support hili bali yalikuwa makubaliano yaliyokuwa na lengo la kuchukuliana. Suluhisho ni kufanya kama Ethiopia ambapo kuna bucha za kuuza nyama iliyochinjwa kiislam na kuna bucha zenye kuuza nyama zisizochinjwa kiislam na maisha yanaendelea raha mustarehe.
 
Safi sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…