Hivi, nani anatakiwa kuchinja nyama?

Hivi, nani anatakiwa kuchinja nyama?

Vipi machinjioni wanapochinja ngombe kwa mashine? anategeshwa tu mashine inalabua!
 
Hebu tupe ushahidi wa mashehe wanaochinja huko machinjioni, mimi napita pita sana vingunguti kununuwa nyama, sijakutana na shehe anaechinja huko bali nimekuta vijana ndio wanachinja huko.

Au una maana ipi unaposema "mashehe"?
Hivi kijana hawezi kuwa Shekhe au huelewi maana ya Shekh?????
 
Hadisi ya mtume ipo kwamba mifupa ya nyama iliyochinjwa kwa kutaja mungu allah ni chakula cha majini, kwani mtume wao ameiombea iote nyama pindi tu yatakapoitwaa hiyo mifupa ili kuila. Sasa kama wakristo watachinja kwa jina la Yesu, ndugu za waislamu(majini) yatakufa njaa. So it's more likely the matter of sympathy.
.
 
Serikali imekuwa inawaendekeza Waislamu mpaka wameota Mapembe hadi leo. Suala la kuchinja Wanyama katika Bucha zinazo ongozwa na Serikali isiyokuwa na dini haliwezi kuendesha kwa mfumo wa dini .Yafaa wale wanaochinja wawe wataalamu kutoka wizara ya mifugo.

Hata hivyo Waislam haohao wanakula Nyama ya kuku katika hotel mbalimbali pia wanakula wanyama pori bila kujua ni nani amechinja. Pia wanakula Nguruwe!!!
Kuwaendekeza Waislamu ndiko kunakoleta hata kiburi wakati wa Kuwaapisha Maraisi utaona Wanataka waende kusoma dua!! Hapo unachanganya Maombi na uganga wa Kienyeji

potelea mbali,, ku......:............ ako.
 
mambo mengine ni yakijamii zaidi,kwa upande huu,jamii imegawanyika katika pande mbili,kuna anayekula nyama iliyouwawa kwa namna yoyote,eidha kwa rungu,risasi,kisu,sumu,n.k pia tendo hilo laweza ambatana na tamko lolote likitegemeana na mtendaji au lisiambatane na tamko.Kundi la pili tendo la kuuwa linafanyika na mwislamu tu ambaye anatumia kisu tu,kwa maana hiyo tendo lake ni kuchinja na si vinginevyo,na kuchinja huko kunafanyika baada ya dua maalum aliyoambiwa na muumba wake atumie kabla ya kuchinja mnyama au ndege yeyote kwa ajiri ya kitoweo.

Ndio maana kiustaarabu kwa kuwa kundi la kwanza lenyewe halina shida basi jamii imeamua kuwaruhusu wale wa kundi la pili wafanye tendo hilo kwa kuwa katika familia zetu tuko mchanganyiko.

Pia ukisoma bibilia yote hutapata andiko linalofundisha namna ya kuchinja,lakini quran inaeleza ustaarabu wa kuchija kwa hiyo ndilo linalofanyika katika machinjio yetu.

Lakini kitoweo chako nyumbani kama wewe ni kundi la kwanza anaweza chinja yoyote hata kama si mwislam ila akija mgeni wako mwambie hii hajachija mwislamu kwa hiyo kwa ustaarabu na ukarimu wa mtu hutumia nyama iliyochinjwa kwa dua maalum ya mwislam ili kila mtu aweze kula.

katika watu waungwana nawewe inakuhusu.
 
Ntarudi mwishoni wacha waje wachangie wengine kwanza!
Najua una kaudini kiasi ila umesahau kuuliza kwanini J,pili iwe siku ya mapumziko na isiwe Ijumaa na J,pili?

Mkubwa hapa umeteleza element za udini hazipo ina inaonekana pengine wewe una jambo lako unataka kulichomeka kwa mgongo wa udini. Yupo kijamii zaidi
 
je ulaya na marekani waislam wanakula nyama zilizochinjwa na nani?
 
Wacha zako hizo za kuleta!Toa ushahidi wa ayat ndani ya Qurani inayo zuia Mkristo asichinje!Si useme tu kuwa mna uchu wa nyama kwa sana!

The name of Allah should be mentioned while slaughtering the animal.(The correct manner of mentioning the name of Allah at slaughtering is, "Bismillah Allahu akbar" (in the name of God, God is the most great). On this occasion the words al-Rahman al-Raheem (the Compassionate, the Merciful) do not follow Bismillah as they ordinarily do, since slaughtering is not an act of mercy. (Trans.)) This is clear from Qur'anic texts and ahadith. Allah Ta'ala says: Then eat of that over which the name of Allah has been mentioned, if you believe in His signs. (6:118)
And do not eat of that over which the name of Allah has not been mentioned, for truly that is impiety.... (6:121)
 
Tunakula nyati, anachinjwa? Ili uweze kumchinja inabidi umpige risasi ndipo uwahi kumchinja na wakati mwingine unamkuta amekufa. Nguruwe inabidi umpoteze fahamu ili uweze kumchinja. Chakula kikiandaliwa na mwislamu kuna taratibu inabidi zifuatwe za uchinjaji na mtu yeyote anakula. Mkristo anapochinja kuna utaratibu anaufuata na mtu yeyote anaruhusiwa kula, ila mkristo kabla ya kula kitu anatakiwa abariki chakula pale najisi yeyote inatoka hata kwa mwislam akibariki anakuwa hana tatizo, ila tatizo ni mafundisho ya viongozi wa dini wanashindwa kutoa elimu ya kutosha kwa waumini wao na baadhi yao ni tatizo wanahubiri chuki na bora viongozi wetu wa dini wakawa na elimu za dini na zakijamii kuliko kuwa na kiongozi shule ndogo anaongoza watu wenye uelewa mkubwa halafu anafanya mambo ya kuwagawa wa Tz.
usidhani unaongea na mbumbu humu JF!!!!, can you dare to do what you saying here in the field? achea uwongo jamani!!! Ni nani miongoni mwenu anayeweza sogelea mlima wa nyati bila kijiridhisha kuwa tayari kafa. Ni wazi hakuna, do you know that nyati do cheat death? acha hizo propaganda za kijinga!!!! bila haya unapost humu JF eti nyati anachinjwa!!! huoni aibu!!!!

kinachoendelea hapa BONGO ni ustaarabu tu, hata hivyo mie siruhusu mtu aje kunichinjia mnyama nyumbani kwangu na wala siwajibiki kujieleza kwa mtu yeyote yule kuwa usilie nyama hii kwa kuwa nimechinja mimi au my beloved wife, kwani yeye nikienda kwake anawajibika kujieleza kwangu kuwa hii nyama unayokula nimechinja mimi, you come to my home you will eat what has been brought to the table, period, you do not eat, none of my business, period--umeshiba basi kwanini nijieleze kwa mgeni
 
The name of Allah should be mentioned while slaughtering the animal.(The correct manner of mentioning the name of Allah at slaughtering is, "Bismillah Allahu akbar" (in the name of God, God is the most great). On this occasion the words al-Rahman al-Raheem (the Compassionate, the Merciful) do not follow Bismillah as they ordinarily do, since slaughtering is not an act of mercy. (Trans.)) This is clear from Qur'anic texts and ahadith. Allah Ta'ala says: Then eat of that over which the name of Allah has been mentioned, if you believe in His signs. (6:118) And do not eat of that over which the name of Allah has not been mentioned, for truly that is impiety.... (6:121)
hee? Ona Allah alivomjibu Mohammad kuhusu haram na halali baada ya yeye kuuliza na waumini! Jibu lilikuwa hivi; "Waambie LEO MMEHALALISHIWA KILA KILICHO KIZURI CHAKULA CHA WALE WASOMAO KITABU KABLA YENU NI "HALALI KWENU!" (suratul maida aya ya 5) sasa tueleze kwamba allah na muhammad ni waongo wewe ndio mkweli! Au?
 
Mashine inakuwa programmed kusema Bisu-MI-Lahi kabla haijalabua.

[h=1]What is Haram?[/h]The opposite of Halal is Haram, which means "unlawful, not permissible or prohibited." The following categories are Haram:




  • Alcohol – intoxicants and narcotic drugs
  • Blood and blood by-products - blood is the circulatory cleansing fluid of the body and is not to be consumed
  • Carnivorous animals, birds of prey, scavengers, and animals improperly slaughtered, sick or dying before slaughter
  • Idolatry - any animals or poultry sacrificed for voodoo, witchcraft or practice that denies the existence of the Creator are not to be consumed.
  • Swine and all pork by-products and/or their derivatives
  • Foods contaminated with any of the above products or with "impurities" (in Arabic, "najis") from processing, such as manure, urine, rodent droppings, infectious fluids, or pus are considered Haram.
The following is a partial list of critical ingredients that can be derived from many sources both Halal and Haram and should be avoided in products that are considered non-Halal:




  • Animal Fat - may be consumed if derived from Halal slaughtered animals
  • Enzymes - microbial enzymes are permissible if derived from Halal slaughtered animals
  • Gelatin - may be consumed if derived from fish or if derived from Halal slaughtered animals
  • L-cysteine - may be consumed if derived from synthetic materials
  • Lard - cannot be consumed
  • Lipids - may be consumed if derived from Halal slaughter animals or plants
  • Animal Shortening - may be consumed if derived from Halal slaughtered animals
  • Meat Broth and Stock - may be consumed if derived from Halal slaughtered animals
  • Rennet - may be consumed if derived from plant/microbial/synthetic products or from Halal slaughtered animals
  • Tallow - may be consumed if derived from Halal slaughtered animals

Source: Halal and Haram examples of food and ingredient sources.
 
What is Haram?

The opposite of Halal is Haram, which means "unlawful, not permissible or prohibited." The following categories are Haram:




  • Alcohol – intoxicants and narcotic drugs
  • Blood and blood by-products - blood is the circulatory cleansing fluid of the body and is not to be consumed
  • Carnivorous animals, birds of prey, scavengers, and animals improperly slaughtered, sick or dying before slaughter
  • Idolatry - any animals or poultry sacrificed for voodoo, witchcraft or practice that denies the existence of the Creator are not to be consumed.
  • Swine and all pork by-products and/or their derivatives
  • Foods contaminated with any of the above products or with "impurities" (in Arabic, "najis") from processing, such as manure, urine, rodent droppings, infectious fluids, or pus are considered Haram.
The following is a partial list of critical ingredients that can be derived from many sources both Halal and Haram and should be avoided in products that are considered non-Halal:




  • Animal Fat - may be consumed if derived from Halal slaughtered animals
  • Enzymes - microbial enzymes are permissible if derived from Halal slaughtered animals
  • Gelatin - may be consumed if derived from fish or if derived from Halal slaughtered animals
  • L-cysteine - may be consumed if derived from synthetic materials
  • Lard - cannot be consumed
  • Lipids - may be consumed if derived from Halal slaughter animals or plants
  • Animal Shortening - may be consumed if derived from Halal slaughtered animals
  • Meat Broth and Stock - may be consumed if derived from Halal slaughtered animals
  • Rennet - may be consumed if derived from plant/microbial/synthetic products or from Halal slaughtered animals
  • Tallow - may be consumed if derived from Halal slaughtered animals

Source: Halal and Haram examples of food and ingredient sources.

Mimi sijakuuliza yoote haya. Au unaumwa kichwani mkuu?

Mambo ya HARAMU utayajulia wapi wewe usiye na haya! Moja kati ya vitendo HARAMU ni hiki hapa
 
hee? Ona allah alivomjibu mohammad kuhusu haram na halali baada ya yeye kuuliza na waumini! Jibu lilikuwa hivi; "waambie leo mmehalalishiwa kila kilicho kizuri chakula cha wale wasomao kitabu kabla yenu ni "halali kwenu!" (suratul maida aya ya 5) sasa tueleze kwamba allah na muhammad ni waongo wewe ndio mkweli! Au?

mgeni that shows at least unaweza kufuatilia aya za qur-an. Lakini hiyo aya ume copy na kupasate bila kuangalia mantik na mada husika.

nakushukuru sana bwana mzimu na karibu tena jf. Naona walikupa kibano kidogo. Usikonde ni vijimambo tu.
 
mgeni that shows at least unaweza kufuatilia aya za qur-an. Lakini hiyo aya ume copy na kupasate bila kuangalia mantik na mada husika. nakushukuru sana bwana mzimu na karibu tena jf. Naona walikupa kibano kidogo. Usikonde ni vijimambo tu.
laa, hiyo aya ipo ndani ya Qurani kaka Mzimu manta hofu na sijatoka nje wala mantiki ya hoja! Na ukiangalia sherehe ya aya hiyo Qtafsiri ya shehe Abdalla Swaleh Farsii imeeleza wazi kwamba Wayahudi na Wakristo kuchinja RUKRA! Aje shehe hapa jf akanushe!
 
Mnyama mtakavyo ila Ila. Iwe kwa ajir yenu Na shughuli zenu nyinyi km nyinyiNa km itahusisha waislam bcAwe ndge au mnyama yeyoteNi lazima so ombi achinje muislamNa ama kuna ndgu yangu apo juuAliulizha kuusiana na nyati nkWanyama hao uwa wakichinjwa Km kauwaida na so kuuwawa km Ufikiriavyoh!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom