Hivi nani anatoa fedha za miradi ya watanzania? Ni Rais?

Hivi nani anatoa fedha za miradi ya watanzania? Ni Rais?

Kila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili? Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za maendeleo maeneo mbali mbali ya nchi yetu??
Ndio utaratibu mpya wa kisiasa alioanzisha Mwendazake na umekuwa adopted so hate haitakusaidia bali kubali Hali Halisi.
 
Ninavyojua Mimi hela yote anatoa Rais waJMT.Hizo kodi zenu tunazitumia kununulia chai,kahawa na safari za hapa na pale.
 
Ni unafiki wa Viongozi wateuliwa kumtukuza Rais ili wasitumbuliwe!
Na hiyo ndo uhalisia wa Nchi isiyo kuwa na mifumo imara!
Umemsikia Waziri wa Sheria Dr.Ndumbarao!
Nchi hii kwa sasa usipokubuhu kwenye unafiki na Uchawa lazima ukubali kuishi maisha magumu sana au upambane sana!
 
Kila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili?

Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za maendeleo maeneo mbali mbali ya nchi yetu?
Raisi si ndio signatory wa mwisho
 
Signatory wa nini??
Pesa zote za makusanyo ya Kodi , mikopo na misada zinatuzwa Azina BOT

Kama ni ujenzi wa barabara waziri wa ujenzi anatangaza tenda mikataba ya ikisha sainiwa kati ya waziri wa ujenzi na mkandarasi faili Lina pelekwa wizara ya fedha waziri wa fedha nae anaweka Saini yake na kulipeleka kwa raisi

Raisi akisaini pesa inatoka na mradi unaanza asipo Saini pesa haitoki na mradi unafia hapo
 
Hii siyo kweli!!?
 
Kuna mlipa fedha za miradi ya selikali ambae anateuliwa rais, huyu ndio hulipa pesa baada ya rais kusain
"Pay Master General" akisaini ndiyo hela zimetoka hizo. Mambo ya kusema Rais huwa anasaini mnayatoa wapi sijui!!??
 
Back
Top Bottom