Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ndio utaratibu mpya wa kisiasa alioanzisha Mwendazake na umekuwa adopted so hate haitakusaidia bali kubali Hali Halisi.Kila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili? Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za maendeleo maeneo mbali mbali ya nchi yetu??
Kumbe nilikuwa sijui. Kwa ivo ukiwa Rais ghafla unakuwa na mapesa!!Ninavyojua Mimi hela yote anatoa Rais waJMT.Hizo kodi zenu tunazitumia kununulia chai,kahawa na safari za hapa na pale.
Ndio utaratibu mpya wa kisiasa alioanzisha Mwendazake na umekuwa adopted so hate haitakusaidia bali kubali Hali Halisi.
La kupambana ndiyo wengi hawataki.Nchi hii kwa sasa usipokubuhu kwenye unafiki na Uchawa lazima ukubali kuishi maisha magumu sana au upambane sana!
WanafikiCha kushangaza alipokuwepo mwendazake hawakuhoji haya
Raisi si ndio signatory wa mwishoKila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili?
Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za maendeleo maeneo mbali mbali ya nchi yetu?
Wengine tulihoji. Kwa ivo usitutumbukize kwenye kapu moja na wengine ambao hawakuhoji??Cha kushangaza alipokuwepo mwendazake hawakuhoji haya
Signatory wa nini??Raisi si ndio signatory wa mwisho
Pesa zote za makusanyo ya Kodi , mikopo na misada zinatuzwa Azina BOTSignatory wa nini??
Hii siyo kweli!!?Pesa zote za makusanyo ya Kodi , mikopo na misada zinatuzwa Azina BOT
Kama ni ujenzi wa barabara waziri wa ujenzi anatangaza tenda mikataba ya ikisha sainiwa kati ya waziri wa ujenzi na mkandarasi faili Lina pelekwa wizara ya fedha waziri wa fedha nae anaweka Saini yake na kulipeleka kwa raisi
Raisi akisaini pesa inatoka na mradi unaanza asipo Saini pesa haitoki na mradi unafia hapo
Hata huyo ilikuwa inahojiwa sana! Ikafikia mpaka Ben akakemea hilo la u mimi mimi!Cha kushangaza alipokuwepo mwendazake hawakuhoji haya
"Pay Master General" akisaini ndiyo hela zimetoka hizo. Mambo ya kusema Rais huwa anasaini mnayatoa wapi sijui!!??Kuna mlipa fedha za miradi ya selikali ambae anateuliwa rais, huyu ndio hulipa pesa baada ya rais kusain