Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?
2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?
3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?
Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!