Tetesi: Hivi nani Huyu anayetaka kuvujisha Heshima ya Korti Za South Africa kwa Wawekezaji?

Zingatia,
Mosi, hakuna mahali nilipolinganisha ATCL na SAA.
Pili, hayo mambo ya kufahamika kwenye biashara hayahusiki. Tunachoangalia ni financial statements na corporate credit rating.

Nani anaijua ATCL duniani hapa?

Bank Statement ya SAA inaongelea digits very very heavy!

Plus SAA ina assets mara elfu ya ATCL will ever have!

Oh well,na ATCL ndio inajenga faida au mavi ya hasara tupu?
 
Kuna mambo mengine ni ya ajabu sana...

Ila usikute haya mambo mpaka kufikia hapo, yalianza kimya kimya na chini kwa chini...

Cc: mahondaw
 
Nani anaijua ATCL duniani hapa?

Bank Statement ya SAA inaongelea digits very very heavy!

Plus SAA ina assets mara elfu ya ATCL will ever have!

Oh well,na ATCL ndio inajenga faida au mavi ya hasara tupu?

Bro hizo story ni za vijiwe vya ghahawa.
Isitoshe hata loss making businesses zina heavy digits.
Waulize KQ,
Teh teh teh
😁😂🤣
 
[emoji16][emoji23]🤣

SAA ni KQ,ATCL,Rwandair,Air Uganda put together times mara elfu moja on top of that!

Digits za SAA huwezi fananisha na one page financial statement ya uchafu kama ATCL!

ATCL ina jenga hasara kama inavyotakikana,hamna kitu mle!

ATCL???
 
Hili nalo limekuuma....Nilidhani SA ni rafiki wa jadi wa Tz, imekuwaje tena?
Huo urafiki wa jadi sijauona kule SA pindi wenyeji wale wale tuliowasaidia kumng'oa kaburu wamewarukia Watz kule na kuwachoma ka mishikaki na zaidi ya yote wakawadhulumu mali zao. Usiombe ukutane na Mtz aliyefurushwa Msumbiji au SA. Utaipenda hiyo hali yake
 
SAA ni KQ,ATCL,Rwandair,Air Uganda put together times mara elfu moja on top of that!

Digits za SAA huwezi fananisha na one page financial statement ya uchafu kama ATCL!

ATCL ina jenga hasara kama inavyotakikana,hamna kitu mle!

ATCL???
Kazi kuponda tu vyakwenu. So postive mind set yako ni nini.!? Shirika lifutwe.!? Au wewe ndo wakuteue ukawe mkurugenzi wa ATCL ndo shirika litapata faida.!??
 
Hta swala la albino ni la kwenu...lisifie pia
Kazi kuponda tu vyakwenu. So postive mind set yako ni nini.!? Shirika lifutwe.!? Au wewe ndo wakuteue ukawe mkurugenzi wa ATCL ndo shirika litapata faida.!??
 
Kazi kuponda tu vyakwenu. So postive mind set yako ni nini.!? Shirika lifutwe.!? Au wewe ndo wakuteue ukawe mkurugenzi wa ATCL ndo shirika litapata faida.!??

Cha kwenu?

Una kitu wewe?

Mali ya Jiwe na amekataa hata CAG asikague,still ni yako?

Kitu hata bunge halitakiwi kuhoji?

Acheni umama nyie!

Eti niwe positive,wakati mnaiendesha kama mali yenu binafsi!

Na zichukuliwe zote na hua nakuja Dar na kwenda Ulaya mara nyingi kwenye kukata tiketi sijawahi taka kusikia ATCL kwenye ticketing system!

Nikiona ATCL tu mahali na-delete route!

Pakieni huo uchafu wenyewe na CcM yenu!
 
Tatizo unalalamika tu hujajibu hoja ya msingi niliyokuuliza. Jibu kwanza ndo tuendelee ......

About kupanda hamna anayekuhitaji upande, kwa nn usfanye mpango ukahama kabisa na nchi...!?
 
Umeuliza swali?Lipo wapi?

Wewe ni wa kuuliza swali likose majibu?

Mbona unajipaisha sana mzee?

Kama ulikua hujali kabisa mimk kutopakia mabati yenu hayo wala usingekua na muda wa kujibu!

Umejibu ina maana you fvcking care!

Huna mandate yoyote na kwa lolote.

Ni mshabiki kama washabiki wengine!
 
Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?

2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?

3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?

Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
Maswali ni mengi kuliko majibu ndugu.unaambiwa ni kesi ya mwaka 80 na serikali ilikuwa inalipa deni taratibu taratibu katika awamu NNE tofauti ila sasa wamedefault ndio hvyo tena
 
Umeuliza swali?Lipo wapi?

Wewe ni wa kuuliza swali likose majibu?

Mbona unajipaisha sana mzee?

Kama ulikua hujali kabisa mimk kutopakia mabati yenu hayo wala usingekua na muda wa kujibu!

Umejibu ina maana you fvcking care!

Huna mandate yoyote na kwa lolote.

Ni mshabiki kama washabiki wengine!
Acha hasira, huu mziki hautaki hasira, au pumzi yako ndogo?

Nilikuuliza hivi, postive mind set yako about ATCL ni nini? Hujajibu ukaja na ngojera.

Haya, nikakuuliza ulitaka wee uteuliwe kuwa Mkurugenzi wa ATCL ndo shirika lipate faida? Unaleta habari zingine.

So jibu kwanza hayo tuendelee, kumbuka unajadili na mtu mwenye GB kubwa mi sio ka walishwa pumba wengine humu.

Ndo maana naitwa "SUPERMIND".
Haaya twende .......
 
Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?

2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?

3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?

Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!

YEYE ALIKAMATA NDEGE BAADA YA KUGUNDUA INAMILIKIWA NA NCHI YA tANZANIA NA SIYO SHIRIKA LA NDEGE.
 
Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?

2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?

3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?

Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
Huu ni ujinga this is not rule of law. Katika nchi zenye ustarabu hakuna mambo ya kwenda kudai moja kwa moja because people will fight ,contracts will be ignored and rules of the jungle will be in force.Na kwanini aende ofisi za ATCL wakati serikali ya wanyakuzi Tzed ndio anadai?

Mimi nimeenda kortini hapa Marekani kudai pesa pia and there was no requirement ati yule jamaa mwingine awe pale kortini.I was given a direct court order to seize his properties ,his vehicle or his wages to be directly garnished.

Nyie wajinga sana mnaonyesha ignorance sana na fikra za uneducated tribal savages.
 
Back
Top Bottom