Tetesi: Hivi nani Huyu anayetaka kuvujisha Heshima ya Korti Za South Africa kwa Wawekezaji?

Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?

2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?

3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?

Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
D2ni lina miaka 17... mmeshinda kulipa hadi mpewe notice?
 
Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?

2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?

3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?

Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
Ahahahaha
 
pwahahahahahaha, BTW si nilifikiri emperor his highness Dr. JPM, the demi god with infinite wisdom alikua ameweka mikakati ku avoid jambo kama hili kufanyika tena????

Hio Kesi ya mahakamani huko SA ni kesi ya ATCL VS SA au ni kesi ya TZ vs SA?????? manake kama ni kesi ya ATCL vs SA basi serekali ya SA haina nguvu yoyote kushika hio ndege manake ndege haimilikiwi na ATCL, ndege zote za ATCL zinamilikiwa na TGFA, JPM alifanya hivi ili kuhakikisha kama ATCL itajipata taabani basi ndege haziwezi zikachukuliwa....

Unakumbuka ule wakati ATCL inazindua safari za SA??? delegation yenu ilikataliwa pale O Tambo airport, tulichukulia kama inocent mistake, lakini sasa vile wameshika hio ndege, inabidi tuchunguze tena kwanini delegation ya Tz ilifanyiwa hivyo wakati mlikua mnazindua safari za SA

1566651918242.png
 
inawezekana mlikuwa mnaletea samans muende mahakamani mkawa mnaleta kiburi
 
Oh yeah?

Very interesting!

Shirika lenye mtaji tu wa kujulikana duniani kote unafananisha na hili lishithole hapa ATCL?

Y’all niggas are in drugs!

Bro, usiongee hivyo mbele za watu, watakucheka. SAA inafanyiwa bail out every year. Mpaka kuna kipindi kina Malema wakawa bungeni wanasema, haiwezekani badala ya business kuleta hela mfukoni, yenyewe inachukua kutoka mfukoni. Bro go thru their financial statement, you will why SAA is referred as a dead one.
 
Tuseme hujanielewa tu?

Mtaji wa kujulikana SAA ina brand ya kujulikana duniani zaidi ya ACTL!

Hua ni mtaji wa maana sana!

Kwa ukubwa wa SAA then ATCL inaingia mara elfu!

Unafananisha Tembo na Sisimizi?

Sauzi ina mabavu ya ku-finance hilo shirika commercial labda njia ya kufanya hivyo ndio wanagombana!

Na kumbuka serikali ya Zuma imetafuna vitu kibao,na ANC imechoka kama CCM na haifai ku-run ile nchi!

Wa akina Malema ndio wanafaa kuchukua ile nchi au Mkaburu kabisa!

Nashangaa sana mnapokua mnaikombeleza TZ kwenye level za SA,ni ukichaa!
 
Msee leo amelia bana, the kenyan wanna be,has remembered his a typical tanzanian
 
dawa ya deni...... bora lawama kuliko.....mgaagaa na upwa.....
 
Tuseme hujanielewa tu?

Mtaji wa kujulikana SAA ina brand ya kujulikana duniani zaidi ya ACTL!

Hua ni mtaji wa maana sana!

Kwa ukubwa wa SAA then ATCL inaingia mara elfu!

Unafananisha Tembo na Sisimizi?

Sauzi ina mabavu ya ku-finance hilo shirika commercial labda njia ya kufanya hivyo ndio wanagombana!

Na kumbuka serikali ya Zuma imetafuna vitu kibao,na ANC imechoka kama CCM na haifai ku-run ile nchi!

Wa akina Malema ndio wanafaa kuchukua ile nchi au Mkaburu kabisa!

Nashangaa sana mnapokua mnaikombeleza TZ kwenye level za SA,ni ukichaa!

Zingatia,
Mosi, hakuna mahali nilipolinganisha ATCL na SAA.
Pili, hayo mambo ya kufahamika kwenye biashara hayahusiki. Tunachoangalia ni financial statements na corporate credit rating.
 
Back
Top Bottom