Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Hii Kesi Haina Mashiko Yoyote, Serikali Yetu Itashinda AsubuhiNa Mapema Ila Huyo Mtu Anataka Nini
Hataki Kuona Tanzania Ikipiga Hatua Mbele
Ukweli Serikali Iko Macho Yote Yatawekwa Hadharani
Iwapo Kuna Watu Wanatumiwa Nao Wote Watajulikana
Maendeleo Hayana Chama
Serikali Inadaiwa Tangu 2008Hilo deni ni la 2008. You can imagine.
Dawa ya deni kulipa mkuu.Hii Kesi Haina Mashiko Yoyote, Serikali Yetu Itashinda AsubuhiNa Mapema Ila Huyo Mtu Anataka Nini
Hataki Kuona Tanzania Ikipiga Hatua Mbele
Ukweli Serikali Iko Macho Yote Yatawekwa Hadharani
Iwapo Kuna Watu Wanatumiwa Nao Wote Watajulikana
Maendeleo Hayana Chama
Sio, the truth will come out soon....Hilo deni ni la 2008. You can imagine.
Ona Mjinga huyu...Magufuli akiamua Kushikilia ndege kubwa (A340) Pale JNIA mtafanya nini?Kweli Lumumba ni mazombie,
unadaiwa miaka na miaka unagoma kulipa, unataka uchekewe tu.....pambafu kabisa.
Mwambieni Polepole awape semina kwanza kabla ya kuwatuma mitandaoni.
Hebu ajaribu tuone... napenda sana majaribioOna Mjinga huyu...Magufuli akiamua Kushikilia ndege kubwa (A340) Pale JNIA mtafanya nini?
ukirudi nyuma mpaka kipindi kingdom au empire zina rise na ku fall, utajua leo serikali zinatakiwa kuwa na mikakati kabambe sanaaa sio hizi story story tunazofanya na nchi nyingine. Lazima tuwe na ushushushu kabambeWengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?
2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?
3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?
Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?
2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?
3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?
Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
Hili nalo limekuuma....Nilidhani SA ni rafiki wa jadi wa Tz, imekuwaje tena?Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?
2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?
3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?
Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
I believe km watu waliweza kwenda mahakamani mpk plane ikazuiwa bhas haya yte walifikiria,Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?
2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?
3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?
Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
Hawezi!! Ysidhani ndege ni smartphoneOna Mjinga huyu...Magufuli akiamua Kushikilia ndege kubwa (A340) Pale JNIA mtafanya nini?
Iko wapi Accacia mlio wekea JPM mikwara eti akiigusa Tanzania itapigwa mnanda?Hebu ajaribu tuone... napenda sana majaribio
SA Watabaki kuwa rafiki wa Tz wa jadi. Wanaotaka kuvuruga haya watakiona chamtema kuniHili nalo limekuuma....Nilidhani SA ni rafiki wa jadi wa Tz, imekuwaje tena?