Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
- Thread starter
-
- #21
Kampuni inayo filisika kama SAA sio tishio kwa yeyote..Haya ni mateke ya punda aliye kufaNdugu yangu naona umepaniki unneccessary!
Kama jambo hulijui omba uelimishwe uweke na rejea upitie!
Sio unatoa na wewe facts wakati wewe sio ATCL!
D2ni lina miaka 17... mmeshinda kulipa hadi mpewe notice?Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?
2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?
3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?
Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
Imejaa tele. Au wewe hujapata mgao wako wa Noah baada ya wanaume kukubali kuwalipa?Iko wapi Accacia mlio wekea JPM mikwara eti akiigusa Tanzania itapigwa mnanda?
Heheheh... kama manawadai wasauzi anaweza kushikilia tu bila shida. Tofauti na hapo basi jishike kifuani halafu sema "mimi ni zwazwa"Ona Mjinga huyu...Magufuli akiamua Kushikilia ndege kubwa (A340) Pale JNIA mtafanya nini?
AhahahahaWengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?
2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?
3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?
Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
pwahahahahahaha, BTW si nilifikiri emperor his highness Dr. JPM, the demi god with infinite wisdom alikua ameweka mikakati ku avoid jambo kama hili kufanyika tena????Wengi wamepokea habari za Ndege ya ATCL Kushikiliwa Huko Sauzi kwa mshangao.
Jambo la kujiuliza ni hili
1.NANI alipeleka kesi kortini? Ni S.A.A ama ni mtu binafsi?
2. Kwanini huyu mtu hakuwapea ATCL notisi ya kesi na hoja za malalamiko (Petition) kama ilivyo kawaida? Kwanini akajifanya hajui ofisi za Atcl mahali ziliko ama anwani yao?
3. Huyu ni Jaji gani ambaye anaweza toa hukumu bila kusikiza pande zote mbili? Hivi Korti za S.A zipo namna hii?
Mwishowe wa kesi hii kuna campuni na nchi ambayo itajitia aibu tele. Usimchimbie mwenzako shimo, Utaingia wewe mwenyewe!
Kampuni inayo filisika kama SAA sio tishio kwa yeyote..Haya ni mateke ya punda aliye kufa
We jamaa tunakujua.Imejaa tele. Au wewe hujapata mgao wako wa Noah baada ya wanaume kukubali kuwalipa?
Haahahah... tusameheane jamaaWe jamaa tunakujua.
Ulipo tupo. We are watching you.Haahahah... tusameheane jamaa
Oh yeah?
Very interesting!
Shirika lenye mtaji tu wa kujulikana duniani kote unafananisha na hili lishithole hapa ATCL?
Y’all niggas are in drugs!
Bro, usiongee hivyo mbele za watu, watakucheka. SAA inafanyiwa bail out every year. Mpaka kuna kipindi kina Malema wakawa bungeni wanasema, haiwezekani badala ya business kuleta hela mfukoni, yenyewe inachukua kutoka mfukoni. Bro go thru their financial statement, you will why SAA is referred as a dead one.
SA Watabaki kuwa rafiki wa Tz wa jadi. Wanaotaka kuvuruga haya watakiona chamtema kuni
Tuseme hujanielewa tu?
Mtaji wa kujulikana SAA ina brand ya kujulikana duniani zaidi ya ACTL!
Hua ni mtaji wa maana sana!
Kwa ukubwa wa SAA then ATCL inaingia mara elfu!
Unafananisha Tembo na Sisimizi?
Sauzi ina mabavu ya ku-finance hilo shirika commercial labda njia ya kufanya hivyo ndio wanagombana!
Na kumbuka serikali ya Zuma imetafuna vitu kibao,na ANC imechoka kama CCM na haifai ku-run ile nchi!
Wa akina Malema ndio wanafaa kuchukua ile nchi au Mkaburu kabisa!
Nashangaa sana mnapokua mnaikombeleza TZ kwenye level za SA,ni ukichaa!
D2ni lina miaka 17... mmeshinda kulipa hadi mpewe notice?
Serikali Inatakiwa Tangu 2008
[emoji15][emoji15][emoji15] Jesu! Happy birthday deni.Hilo deni ni la 2008. You can imagine.
Pamoja na yote vita vya kibiashara ni vikubwa ikizingatiwa ATCL ina ndege mpya na inachukua nafasi ktk anga lazima tupambane na hawa wanaojifanya anga ni lao 💪Hili nalo limekuuma....Nilidhani SA ni rafiki wa jadi wa Tz, imekuwaje tena?