Ratiba?Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Likikomaa kila swali Linatia HasiraMaswali ya kike matamu sana penzi likiwa changa
na huu ndio muda wanaulizaga bora akuulize mchana huko yeye anasubiri utokezee kabisa home ndio anauliza dah😂Mm swali linakeraa aissee!!yani unatoka kazini umechoka kila kitu kipo ndan lakini mtu hajapika ety hajuii apikee nn
Dawa yake huaa najipitiaga hotelin nafungiwa portion ya mtu moja msosi mzuri[emoji23]afu namwambia ujapika , ngoja na mm nile nilichotafutaa ananunaa hata unyumba siki hio sipewi[emoji23]atanyooka tuna huu ndio muda wanaulizaga bora akuulize mchana huko yeye anasubiri utokezee kabisa home ndio anauliza dah[emoji23]
Hahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Hapo alikua anamaanisha. "Leo unapendelea kula nini?""Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Mkuu...kuish na mtu ndan ni kaz kuliko watu wanavyofkiri....mi kuna siku dem wangu akinigusa namwambia..toa mkono unanikera..acha tu..kuish na mtu kitanda ki1..miaka nenda rud inataka moyo sanakweli aliyesema binadamu hatuna chema hakukosea kabisa. Sasa mkuu kuna ubaya gani kuulizwa hivyo aisee. Si unamjibu tu unachojisikia kula siku hiyo kaka. Tena kakuuliza kimahaba kabisa aisee.
Laiti ungejua kiasi cha raia kisichoulizwa hayo maswali na wanaombea kiasi gani waulizwe!