MzeeMpya
JF-Expert Member
- Dec 19, 2019
- 519
- 662
Akirudia kwa siku nyengine mwambie pika Biriani. Utakua umempa majibu ya mwaka mzima...Inasound kama leo ila ni swali ambalo kila siku unaulizwa😂 its so tiring!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akirudia kwa siku nyengine mwambie pika Biriani. Utakua umempa majibu ya mwaka mzima...Inasound kama leo ila ni swali ambalo kila siku unaulizwa😂 its so tiring!
Nakumbuka niliwai ishi na dem m1 Arusha..yeye kula hapend..na mtu ambae kula hapend bas kupika huwa hapend .yeye vyakula vyake vya ajabu..atachemsha mi tambi/nudles hapo na maziwa anakula na sosej..au anaenda nunua chocolate cake anakula imetoka hyo..mim sasa napenda ugal nyama maharage.samak .kisamvu .mlenda dagaa...yaan real food...alikua hapik..nilipata shida sana ishi na yule bintHahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
Siyo wote wanapenda ugali nyama huwezi amini hili, usiishi kwa kukariri..!!Hahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
Kweli wanaume tunafanana mkuu."Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Pole,We basi utakuwa una date na kivulana kinachoshindia kiepe yai 😂😂😂!!!
Mwanaume rijali lazma apende Ugali na Pilau
Unaweza ukawa una roho mbaya sana ila hujui kama uko hivyo. Unachukia watu ikiwa ni pamoja na huyo uliyenaye"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Mimi kero yangu nyingine pamoja na hiyo ya kuuliza chakula, ni kulala kwenye kochi na kunilalia kila napo ka karibu nae duh, hawezi kuangalia move au tv bila kulalia sofa, inakera arafu huwezi kumkemea atasema hooo! you ur not romantic, wanaumme hampendeki nk..........inekera sana plz wake zetu regulate your habits plz"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Halafu unaonyesha siyo mkweli, yaani hauko wazi. Unatunza mambo madogo madogo rohoni halafu unakwengda tena kuyaweka public somewhere. Mke wako unashindwa nini kumweleza kama hilo swali huwa limnakukera aache kuwa anakuuliza, hadi unafikia kulileta humu jukwaani? Unakaa umemvimbia kifuani mtoto wa watu kwa kitu kidogo kama hicho, huku yeye akiwa hajui. Tabia ya ajabu sana hii kwa mtu yeyote yule anayeitwa mwanammeYani mimi huyo niwe na roho mbaya, tofautisha annoyance na humbleness.
Sasa wangu mi hapendi kabisaa ugali anapenda tuu ndizi za kwao Marangu. So mkipika ugali na ndizi zake ziwepo.Hakuna kitu kigumu kama kuwaza una pika nini aisee ni kazi ngumuuHahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
yeye mwenyewe umemueleza kuwa hupendi Hilo swali au unatueleza sisi Kwanza.."Bebi Leo tunakula nini?"