Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?


Kwa mama n'tilie ilikuwa ukifika tu unaletewa directly msosi wa siku ?

Wapumzisheni wake zenu na malalamiko, hamkosi cha kulaalamikia.
 
Hawa itakuwa ni wale waliozaliwa Aghakan Hospital,akasoma Muhimbili Primary,Jangwani Secondary school form V na VI,Chuo kikuu akasoma UDSM...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uzi umenikumbusha mbali sana, kuna siku moja Mke alimuuliza Mume leo nipike nini? Mume wake akamjibu pika Mapapai πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
swali rahisi si unamjibu

pika vitumbua
 
Hiv wale tunaokula chochote kilichopikwa huwa tunakosea wapi?
 
Mimi bado sijaoa lakini asije jichanganya kuniuliza hivyo maana;
Sili nyama ya aina yoyote sasa atakula maharage daily maana ndio mboga yangu namba 1 niwe na hela au nisiwe nazo.
 
Mie nilisha ulizwa mida ya jioni
Nikamwambia nataka loshoro tuu
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ Nilijua ni mimi tu nakereka na ili swali kumbe tupo wengi, wife anajua mi ni mpenzi wa pilau na supu au michemsho ila lazima daily aulize na anajua lazima nichague kati ya hivyo vitatu
 
[emoji23] tabia mbaya tu, sasa tukadeke wapi jamani...!
 
Raha ya chakula ufanyiwe assortment na mke! Tatizo wake zetu wengi sio wabunifu nakumbuka marehem mama alikuwaga na cook books kabisa yani na alikuwa na hobby ya kupika basi anajipikilisha wee! Sasa kutana na hivi vizazi vya chips kuku yani wao nje ya wali, ugali na pilau hana anachojuaπŸ˜…
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ Nilijua ni mimi tu nakereka na ili swali kumbe tupo wengi, wife anajua mi ni mpenzi wa pilau na supu au michemsho ila lazima daily aulize na anajua lazima nichague kati ya hivyo vitatu
Mie pia ugonjwa wangu pilau πŸ˜‚
 
Huu uzi umenikumbusha mbali sana, kuna siku moja Mke alimuuliza Mume leo nipike nini? Mume wake akamjibu pika Mapapai πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Hahahahhahahahahahha
 
Hamna wala sio ulalamishi! Ni uvivu wake wa kufikiri tu mie hata akipika mavi ntakula tu sababu ndio chakula chetu cha siku hio!

Anajua fika sipendi mchicha na kabejiπŸ˜…!

Hayo mengineyo akipika haina shida. Sema uliza mara moja moja we kila siku unauliza tu hujui kuwa ni kero? Mwanaume raha upikiwe bana ukifika we ni kusifia tu leo mke wangu pishi tamu sanaπŸ˜… sio unafika unaanza kumenyeshwa vitunguu swaumu!
 
Sasa wangu mi hapendi kabisaa ugali anapenda tuu ndizi za kwao Marangu. So mkipika ugali na ndizi zake ziwepo.Hakuna kitu kigumu kama kuwaza una pika nini aisee ni kazi ngumuu

Jamaa anaonekana wa ajabu sana. Yani anachukia ugali hao ndio wale daddy im going!

Ukiwa huna hobby ya kupika ni kazi ngumu kweli! Ila if you are creative there are a million dishes yani! Na vitu ni vile vile tu ila unatwist kidogo tu unapata new dish. Unaongeza kidogo inakuwa kitu amazing.

Nunua vijarida vya mapishi vitakusaidia kuto run out of ideas! Mie sijui tatizo nina dada anapenda mapishi yani nikifikaga kwa shemeji yangu namuonea wivu anavyopikiwa vitu vizuri vizuri yani kama yuko 5 star hotelπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…