Unajua kila siku nikiamka asubuhi najiuliza hili swali lakini sipati jibu,
Ina maana CCM wote hakuna mtu yeyote Mzalendo kama Magufuri ili aweze kuzisimamia rasilimali zetu?
Huyu Mama kawapi nini? Kwa nini Rostaman Aziz hiki kiburi anapewa na nani cha kupora rasilimali za inchi huku Viongozi mmekaa kimya?
Tundu Lissu alipoamua kuongea kuhusu makaa ya mawe mkaamua kumfunga na mnahakikisha ananywongwa na huku kesi yake imajaa fingusi nyingi?
Vipi kuhusu Viongozi wa Dini wa Kiisilamu manjitambua kweli?
Na nyie Watanganyika ambao kila siku mnamtetea sijui mama kila kitu mama mnayaona anayofanya mama yenu?
Na huyu Kikwete ushauli wake kwa mama anamshauli nini?au ni ushauli kwa kumpoteza kama tunavyoona?