Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimevurugikiwa hapa!hakika wamenichanganya leoMara k ibane iwe mnatoa mara isibane tuelewe nin jamani
WatatuchoshaNimevurugikiwa hapa!hakika wamenichanganya leo
Sana!Watatuchosha
Hanaga mizinga mamaJ,Vipi kwenye suala la Tozo? (mizinga)
Hii ni kwa upande wangu,Tutaaminije haya uyasemayo? Kwasababu umesema ili tuamnini basi na yeye atuaminishe kwa njia hiyo hiyo aliyotumia kukuaminisha... Mimi nikiwa wa kwanza katika mstari[emoji23][emoji2960]
Shangz zake wapo, mganga hajarudi Tena[emoji4]... Nafuatilia comments kutafuta jibu la DeepPond
Mimi wa kwangu hata kubadilisha style hataki kusikia ni kula mende tu mwanzo mwisho[emoji23]Hii ni kwa upande wangu,
Kwa yeye anajua moyon mwake anavonitafsiri[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hapa chizi wangu mamaJ[emoji4][emoji116]Mama j kama mama j[emoji28][emoji28][emoji28],,, naomba kujua mama j ni
Mweupe au mweusi
Mnene au mwembamba
Mfupi au mrefu
A wanna play my dice!!
[emoji50][emoji50][emoji50]Huyu hapa chizi wangu mamaJ[emoji4][emoji116]View attachment 2440712
Sent using Jamii Forums mobile app
So huyu ndio mtesi wako mkuu?Huyu hapa chizi wangu mamaJ[emoji4][emoji116]View attachment 2440712
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo GlennSo huyu ndio mtesi wako mkuu?
Atakaekupinga hajui ndoa n nini[emoji4]Mabwawa kuna muda yana uzuri wake,yaan unaweza piga mashine kwa muda mrefu na kwa style mbalimbali
Mwanamke wa hv niko nae
Si ndio mkuu au?
Sio kweli[emoji4]Ashatengenezwa kitambo...
Tumepoteza DeepPond [emoji23]