Mpigamimba
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 198
- 237
Huyo hatoi maziwa..ungekimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuachana na wifeYaani jamani kama mama j ndio mkewe mwisho wa siku atatuambia kaachana na mkewe kamuoa mama j
Ifute DeepMbona ni picha ya kawaida sn iyo[emoji848]
Au Kama imekaa vby Sana niwie radhi[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni akili za mgawo wa umeme unatuletea roho mbaya rafikiNi wivu tu
Uwe makini sana usielekee uko maanq mchepuko umekutawala kuliko mkeKuachana na wife
Na kumuoa mamaJ ni blunder kubwa sana maishan ambayo mwanaume yeyote alie makini na serious kamwe hawezi kuifanya[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni akili za mgawo wa umeme unatuletea roho mbaya rafiki
Ha ha ha ..Ni akili za mgawo wa umeme unatuletea roho mbaya rafiki
Picha imegoma kufutika unamdhalilisha bwana
Ha ha ha....kutoa maziwa kivipi mkuu?Huyo hatoi maziwa..ungekimbia
Nishafuta bhana, reload pagePicha imegoma kufutika unamdhalilisha bwana
Kwa mimi sina shida rafiki, nimemuwazia yeye muhusika kwenye hiyo picha. Ni mawazo yangu lakini si kwa lengo baya.Mbona ni picha ya kawaida sn iyo[emoji848]
Au Kama imekaa vby Sana niwie radhi[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] huwa anasema haitokaa itokee lkn kwa mwendo huu sijui mm yangu macho.Yaani jamani kama mama j ndio mkewe mwisho wa siku atatuambia kaachana na mkewe kamuoa mama j
Mbona hakuna tatizo kwa picha si kitu yake mamy?Picha imegoma kufutika unamdhalilisha bwana
Nakuelewa Sana dada yangu,Nishafuta tayarKwa mimi sina shida rafiki, nimemuwazia yeye muhusika kwenye hiyo picha. Ni mawazo yangu lakini si kwa lengo baya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ingekua picha ya mtu asiyekuhusu ningekulaum...kwa vile ni kitu yako wala sioni tatizoMbona ni picha ya kawaida sn iyo[emoji848]
Au Kama imekaa vby Sana niwie radhi[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app