Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

Asa siku ukijakujua au kusikia kuna mtu anamkaza au akikupiga chini ndo utajua mapenz yanauma kuliko maumivu ya moto[emoji91][emoji91] maan utakua unafikiria kilakitu anachokufanyia ndo anakifanya hko alipo!!! Mara pap uchiz huu hapa, stress gunia maji hayapiti kila mwanamke utamuona mbaya kwako[emoji23][emoji23][emoji23] NB; speaking from the experience[emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…