Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jun 11, 2024 #1 Nafikiria nchi inavyokwenda mpaka unaweza kujiuliza hivi hii CCM iliyopo madarakani imeharibu vitu vingapi ambavyo vingekuwa msaada mkubwa leo. Hujuma zinazofanywa na ripoti za CAG zilishawahi kufanyiwa kazi? NASACO iliungua na ukawa mwisho wake Nimeikumbuka NASACO ccm ni chukizo sana chukizo sana Shhhhhhh, kaka Nape na Le Mutu watakuchukia!!!! www.jamiiforums.com
Nafikiria nchi inavyokwenda mpaka unaweza kujiuliza hivi hii CCM iliyopo madarakani imeharibu vitu vingapi ambavyo vingekuwa msaada mkubwa leo. Hujuma zinazofanywa na ripoti za CAG zilishawahi kufanyiwa kazi? NASACO iliungua na ukawa mwisho wake Nimeikumbuka NASACO ccm ni chukizo sana chukizo sana Shhhhhhh, kaka Nape na Le Mutu watakuchukia!!!! www.jamiiforums.com