Hivi natenda dhambi nzito zaidi au?

Stori yako imenikumbusha ile hotel mitaa ya kino yenye ukumbi juu jumapili walokole wanafanya kanisa haha!
 
Piga kiuno kuendana na mdundo, unakuja kunishukuru baadae
 
Sasa ungekuwa mbali na kanisa ndo uasherati wako usingekuwa dhambi?

Hiyo pesa uliyotumia kumpangishia ndo ukaamua kuwekeza kwa wanao ili wapate huduma bora zaidi, huoni kama ungetenda jambo jema?
 
Sasa ungekuwa mbali na kanisa ndo uasherati wako usingekuwa dhambi?

Hiyo pesa uliyotumia kumpangishia ndo ukaamua kuwekeza kwa wanao ili wapate huduma bora zaidi, huoni kama ungetenda jambo jema?

Kila mwanaume anahonga hakuna mwanaume ambaye hahongi ndg sema kila mtu anahonga kulingana na uwezo wake
Wewe ukiwa unaweza kuhonga vocha ya buku ni kwa sababu ndo uwezo wako unapata elf 10 kwa siku unahonga buku vocha
Siku ukipata milion utahonga laki na siku ukiwa na uwezo wa 10m basi utahonga 1m
So acha mbambamba za kuona mwenzio anatumia hela vibaya ni anatumia kulingana na uwezo wake stupid
 
Wewe sio Mkristo, wewe ni Kitombi. Mkristo ni yule anaye yaishi mafundisho ya Yesu Kristo. Yesu hakuwahi kuwa kitombi. Hivyo basi, koma mara moja kujiita Mkristo, jiite Kitombi ndio ulivyo
 
Nyimbo zinatia mzuko... wewe endelea hakuna Dhabi kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…