Hivi natenda dhambi nzito zaidi au?

Hivi natenda dhambi nzito zaidi au?

Itifaki izingatiwe - Mimi ni mkristo

Kuna dem nimempangia sehem hivi karibuni sasa kwa bahati mbaya tumekuja kugundua kuwa nilipompangia ni pemben ya kanisa (haya ya kilokole ambayo ibada ni kila siku)

Sasa shida inakuja wakati wa kuzagamuana unakuta ibada inaendelea hapo au nyimbo ndio zimechanganyia

Aisee huwa najihisi hatia sana huwa naona yes nafanya dhambi ya kuchepuka but kitendo cha kusex huku ibada inaendelea na nasikia(ingawa me sio mlokole) huwa inaniumiza sana [emoji27]
Asee sex is natural kabisa, Mungu anaitambua vizuri sana sioni ubaya

Ila tatizo wewe unachepuka😂

Angekuwa mkeo ningekushauri wakati waumini kanisani wanakoleza kukemea mapepo na wewe ukoleze uno, hiyo nayo ni ibada
 
Back
Top Bottom