Hivi naweza kuanzisha biashara ya kutoa huduma ya usafi bila mtaji?

Hivi naweza kuanzisha biashara ya kutoa huduma ya usafi bila mtaji?

Mumlii

Senior Member
Joined
Mar 14, 2021
Posts
169
Reaction score
232
Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni.

Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo?

Kwenye hii biashara ya usafi.
 
Anza kidogo kidogo, anza kwa kufua nguo za watu kama dobi-Baadae ukipata nguvu ya mtaji utaongeza wafanyakazi ili uweze kufanya kazi nyingi kwa muda mchache.
 
Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani ,ofisni. Je naweza kuanzaje ili nifike malengo . kwa anayejua naomba mawazo maoni,mitazamo. Kwenye hii biashara ya usafi
[emoji3516]
KWANZA KABISA!!!

USIWE MWIZI!!!

KAMA UNA TABIA YA WIZI-
HAUTOBOI KWENYE HIYO BIASHARA!!!

AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU??
[emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Back
Top Bottom