Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iweke hapa jukwaani kwa manufaa ya wengiUje nikupe mifumo ya kuwekeza hio 15M bila kuhitaji usimamizi mkubwa. Mungu akikusaidia na ukawekeza akili na nguvu yako huko, utakuja kunishukuru badae.
Mpe mchanganuo wa pesa anayolipwa huyo unayesema analipwa 80 elfu na anajenga pia.Unachopata ni mbegu.....
Watu wanapata elfu themanini kwa mwezi na wanajenga
Maticha wenyewe wanajitukanisha kwenye jamii😂😂 hii taaluma inadharauliwa sana hapa bongo
Aisee ni noma mkuu na akiwa na nyumba si ajabu familia ikaongezeka, mbona ni kama kujitafutia ugumu wa maisha kwa makusudi kabisa.Hii mentality ipo kwa watumishi wote mkuu. Siyo walimu pekee. Mtumishi anacho kiwaza ni kujenga na kununua usafiri pekee.
Ndiyo, nyumba ya milele (kaburi).Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini.
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi.
Sioni nikijenga kabisa.
Kimsingi hajengei hiyo 80,000 bali huizungusha kwenye vibiashara ambavyo wengi wanavidharau...na kile kipatikanacho ndicho hu.....na ku....na kila apatapo 80 000 nyingine huikuta ile ya mwanzo ipo mzungukoni na kuibustishaMpe mchanganuo wa pesa anayolipwa huyo unayesema analipwa 80 elfu na anajenga pia.
Fanya hivyo namimi nijifunze kitu.
Sometimes Mwanamke niwakumsikiliza, mm ni Medical Attendant nataka nivute loan pia ila wife kanishsuri tuwekeze kwanza maana unaweza jenga ukaishia njiani na mkopo umekopa kwa miaka nane alooo hapo itakuwa ni kazi.Yeye anashauri tuwekeze ndio tujenge, japo mimi niko na ambition kubwa ya kujenga