Hivi naweza kujenga nyumba kwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi?

Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
Kazi za watoto wa mafukara hizi,ona sasa digrii nzima laki tano kwa mwezi.ila mkuu we pambana,mbona kuna majamaa zangu walinzi wanapokea 150 na wamejenga🤣🤣
 
Acha mzee, hakuna posho yaani ni kavu mwezi mzima hahah.
 
Je hapo ulipo una fursa ya kufanya parti time? au twisheni?
Kama una kipato cha ziada, unaweza kukopa na kujenga.
Otherwise, acha kujenga kwa sasa wekeza kwenye biashara.
 
Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
Usithubutu kuchukua mkopo kwa ajili ya kujengea nyumba kwa kiasi hicho.

Utakuja kulia kilio cha kenge na utamchukia kila mtu!!!
 
Mbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
Achana na kujenga mzee
 
Ila hizi nchi zetu za kipumbavu sana, mwalimu badala uwaze kufundisha watoto, mtu anawaza kwenda kulima!

BTW usije ukakopa ili ujenge utaishi maisha magumu sana, ushauri wangu acha hiyo kazi...mashahara wa laki 5 unakuweka kazini tena ukute ni kijijini huko!
 
Back
Top Bottom