Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri hilo Jenga ulipo ili uishi pazuri na familia yako ufurahie maisha!!Kiwanja ninacho uko mkoani nilipotoka, lakini nawaza nijengee uku nilipo.
Fanya hivyoNaweza kujiajiri hata nikiwa ndani ya ajira.
Ni kweli kabisa.Walimu na kujenga ni kama mmelogelezewa vile.
Asilimia kubwa huwa mnawaza kujenga tu na sio kua huru kiuchumi, ni kujenga tu.
Unakopa 15M then unajenga huku ukipokea laki 3 sijui 2 ambayo wala haikutoshelezi kwa mahitaji ya familia.
Unanikumbusha mm mwaka jana presha ya kutaka kujenga ilikuwq kubwa sana kwenye mtaa ninaoishi. Nilpohama na kuhamia mtaa mwingine hata bei ya tofali nikaisahauMbona naona kama nimekuja kuwasindikiza walimwengu? Age 30, kazi mshika chaki, familia na mke mtoto mmoja, elimu degree, uwezo wa kukopeshwa million 15, nina miaka 2 kazini,
Naweza kujenga nyumba? Au niachane na pressure za kujenga? Niende nikalime? Naona Kama nawasindikiza wanadamu hivi. Sioni nikijenga kabisa.
Uko sawa.Cheki hii ng'ombe ndio mnasababisha kada ya elimu ionekane ya kijinga wakati nyie ndo wajinga.
Haya chukua maarifa ya Bure hapa kiazi ww
1. Usikope pesa kubwa Kwa ajili ya kujenga
2. Usikope pesa Kwa ajili ya kuanzisha biashara
Kwa kuwa una take home ya 500k
*Make saving ya 250k hadi 300k each month
- Fanya Kwa miaka 2 na HAPO utatengeza almost 6M saving.
- Anza projet au biashira Kwa kianzio hicho cha 6M huku ukiwa na full salary yako inakupa mahitaji yako na familia yako.
Baada ya miaka miwili kupita na Kwa kuwa Bado una salary yako ipo full, kopa 5M tu Kwa makato ya miaka 2 tu ili kupunguza mzigo wa riba na kukaa na deni Kwa muda mrefu then nunua kiwanja Kisha kausha. Deni likiisha Anza ujenzi kupitia salary yako.
Za kuambiwa changanya na zako kiazi ww.