Optimists
JF-Expert Member
- Oct 17, 2021
- 379
- 1,082
- Thread starter
- #41
Kweli kabisa.Laki tano nyingi sana mkuu, Kuna akina mama wanajenga kwa kukusanya elfu tano ya Mauzoi ya mihogo na vitumbua tu. Kujenga ni sula la maamuzi magumu tu. Kama wauza K wanajenga , mama ntilie, bodaboda, washona viatu n.k hata wewe Mwalimu unaweza kujenga ukiamua kuacha majungu na Kuisadiia CCM kuendelea kubaki madarakani