Waruhusu hilo ili baadae msiwategemee? Bila kubadili mfumo wa kisiasa, yote hayo yatabaki ni ndoto tuKwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele...
Duuh! Basi tuachane mpira tu.Yani mkuu uwajengee academy hawa vijana na malnutrition zao, na natural lack of seriousness hamna mwekezaji wa kuchezea pesa zake hapo bongo!
Daah! Kila kitu kinaharibiwa na siasa chafu nchi hii.Waruhusu hilo ili baadae msiwategemee? Bila kubadili mfumo wa kisiasa, yote hayo yatabaki ni ndoto tu
Amini kabisa. Unadhani hawajui tunakwamia wapi? Tutabaki tu tunasema wale tulikuwa level moja miaka 20 iliyopita sasa hivi wanasumbua huko duniani.Daah! Kila kitu kinaharibiwa na siasa chafu nchi hii.
CCM waoga sana wa changamoto. Kila kitu wanajihofia. Diaspora hawataki, uraia pacha hawataki, na kujenga academy hawataki. Daah!Amini kabisa. Unadhani hawajui tunakwamia wapi?
Sijawahi kuona kazi ya wizara ya Michezo, utamaduni na sanaa zaidi ya kufungia nyimbo za wasanii kupitia basata.Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele...
Ni woga ukichanganya na ubinafsi na wamejiaminisha woga na ubinafsi wao ndiyo uzalendo kwa hiyo hauwezi kuwaambia kitu.CCM waoga sana wa changamoto. Kila kitu wanajihofia. Diaspora hawataki, uraia pacha hawataki, na kujenga academy hawataki. Daah!
Nchi inaogozwa na watu wanao waza kuiba kodi tu na kubakia madarakani halafu ndio wafikirie kuendeleza vipaji? Utakuwa unaota wewe. Miaka 65 ya uhuru hata kuwa na sewage pipe kwenye mji hata mmoja wameshindwo. Wewe fikiria hayo sky scrap za majiji yote ni septic tank za Mavi. Yaani kuchimbia pipe ya kisafirisha Mavi na wange weza kupata hela za kutosha kuendesha kuondowa mafulikoutotoni
baadae muanze kuwadharau.hawataki hayo.tunasafari ndefu sana.Waruhusu hilo ili baadae msiwategemee? Bila kubadili mfumo wa kisiasa, yote hayo yatabaki ni ndoto tu
Duuh! Basi tuachane mpira tu.
Tujenge vyuo vikuu vya umbea, uchawa na udangaji tu.
lazima kwanza wajue nani kawaleta hao spain/england/brazil naanatoka chama gani? naanataka kuwa rais baadae ? huyu atatusumbua, wanazuia.wanaangalia maslahi yao kwanza ndio ya wananchi yaje.Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.
Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.
Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na maandazi, kisha wakaanza na kuvuta bangi kndipo wakajiingiza kwenye mpira, ni vema tuwaandaye tangu utotoni.
Hawa wa sasa hawanyumbuki, hawana nguvu na hata akili ya mpira hawana. Huyo tunayemuita star wetu wa taifa nje ya nchi ni kidampa tu.
Wewe si mwananchi? Anzisha kiytuo kiwe mfano wa kuigwa. Unangoja nini?Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.
Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.
Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na maandazi, kisha wakaanza na kuvuta bangi kndipo wakajiingiza kwenye mpira, ni vema tuwaandaye tangu utotoni.
Hawa wa sasa hawanyumbuki, hawana nguvu na hata akili ya mpira hawana. Huyo tunayemuita star wetu wa taifa nje ya nchi ni kidampa tu.
Hata huko Senegal na ujerumani sio serikali inajenga academy...Wewe si mwananchi? Anzisha kiytuo kiwe mfano wa kuigwa. Unangoja nini?