Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local currency yao haina thamani kabisa wanatumia USD kufanya malipo!
Ila wakitokea watu matajiri wanakuwa na pesa ndefu kama marehemu Ginimbi na huyu wa sasa Chivayo, wanastahili pongezi wamejipata kwenye nchi yenye umaskini mkubwa sio jambo rahisi
Ila wakitokea watu matajiri wanakuwa na pesa ndefu kama marehemu Ginimbi na huyu wa sasa Chivayo, wanastahili pongezi wamejipata kwenye nchi yenye umaskini mkubwa sio jambo rahisi