Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Inamaana hata uongozi uliopo wa Zimbabwe wameshindwa kueweka uchumi sawa . Hiyo nchi ndio kwishnei haiwezi kukaa sawaNchi ikijaa mafisadi haiwezi kujipata tena. Lakini ikijaa watu wenye akili zao na ustaarabu wao inarudi haraka sana kwenye reli.
Inaonekana maslahi yanaenda kwa watu binafsi na sio nchiZimbabwe ina utajiri wa rasilimali kama Gold, Platinum, na Lithium ambayo sasa hivi inagombaniwa duniani kote kwa ajili ya betri za magari. Unapowaona watu kama Chivayo wanatanua na magari ya kifahari, ujue hiyo nchi ina hela sana, sema tu distribution ya huo utajiri ndio mbovu.
Come back ipo ila kwa africa ambapo viongozi wao hawana habari ndio basi tenaTaifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local currency yao haina thamani kabisa wanatumia USD kufanya malipo!
Ila wakitokea watu matajiri wanakuwa na pesa ndefu kama marehemu Ginimbi na huyu wa sasa Chivayo, wanastahili pongezi wamejipata kwenye nchi yenye umaskini mkubwa sio jambo rahisi
Kwakweli , mfano Zimbabwe najiuliza sana wananchi wa vijijini wanaishije kuipata USD si mbinde kwaoCome back ipo ila kwa africa ambapo viongozi wao hawana habari ndio basi tena
Sikatai kwamba wana resources ila hoja yangu imekuwaje Local currency haitumiki na watu , USD ndo inatumika ktk kufanya malipoZimbabwe unayoizungumzia ni ipi mkuu hii ya sasa hivi wanayotumia usd,zig na rand? Mzunguko wa pesa unakua vizuri Zimbabwe kuliko hata hapo ulipokaa na kuandika..
Migodi ya dhahabu,kilimo cha ngano na Lithium imeanza kuinua Zimbabwe kwa kasi sana kwa sasa..
Na hata huyu aliyepo naye anaiharibu bado hawajapata mtu wa kuwakomboaMgabe aliiharibu hii nchi