Ukiwa nje utakamatwa na kupewa kesi zisizo na dhamana.kama unakumbuka spika aliambiwa afukuze wabunge ili wasemee nje awashughulikie .alisema mwenye muhimili ulijichimbia zaidiSio mada ya kitoto kamanda, kwani mpaka uingie bungeni ndio uwe na hoja zenye mashiko?
Huoni hata Mkuu amechukua wapinzani wengi kuwa wasaidizi wake,Ni kweli una umuhimu,lakini je ulishalinufaisha hili taifa tangu lianzishwe?
Ungejiuliza kwanza kwa nini CCM inahangaika hadi kufanya jinai ya kugushi nyaraka ili kuwaingiza wale covid 19 bungeni kwa mlango wa nyuma.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.
Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?
Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.
Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?
Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?
Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Hivi wale nao unawahesabu kuwa wapinzani?Ungejiuliza kwanza kwa nini CCM inahangaika hadi kufanya jinai ya kugushi nyaraka ili kuwaingiza wale covid 19 bungeni kwa mlango wa nyuma.
Ahaaaaa, sina mbavu hapa nilipo. Unahitaji maombezi.Narudia tena, huu utoto umeona ni bora uilete na id hii? Ile mpya itafanya kazi gani?
Hao waliotoka uko na wakaja chama tawala na kupewa nyazifa hizo, hakuna alietoka uko kwa amaniii, wengiwamekimbia huko ni baaada ya kuchoshwa na mambo ya hovyo yanayofanywa na viongozi wao miungu watu. Suala la kupata mgombea ciongozi wa vya ma vya upinzani, ndio wanao panga wenyeweee. Matokeo take wanatuletea wagombea wasiofaaa wala kukidhi nafasi ya uraisi. Mfano kama uchaguzi wa mwaka huuu, nioneshe chama cha upinzani kilicholeta mgombea ambaye ata angesubutu ata kutikisa unywele wa magufuli kwenye kampenii.Nchi ikiwa na utaratibu mzuri wa kiutawala hata wewe unaweza kuwa raisi. Tatuzo tunamtarajia mtu mmoja awe ni kila kitu.
Vyama vya upinzani ni sauti mbadala, humulika yasiyofa na kuonyenya njia mbadala. Husaidia watawala kujiweka sawa.
Vina watu werevu pia ndo maana wengine wamepewa vyeo mifano ipo. Anna Gwrra, Dr Slaa, Kitila nk.
Vyama vya upinzani vimetoa mchango mkubwa sana na anayetaka vibomoke ni mpumbavu tu.
Umeelewa mantiki ya swali langu? Jibu swali.Hivi wale nao unawahesabu kuwa wapinzani?
Ahaaaaa, sina mbavu hapa nilipo. Unahitaji maombezi.
Ndio, dish limeyumba.Maombi tena?
Ndio, dish limeyumba.
Askofu Gwajima. Usimchukie kisa amewabwaga jimbo la kawe. Habari za kusujudia sanamu zinatoka wapi? Dish linazidi kuyumba?Nishauri mchungaji wa kwenda ili nikitoka huko nije kusifia na kusujudia sanamu kama ww.
Naenda wiki ijayo, nikija humu na mimi nitakuwa naimba sifa za mtukufu jiwe, baada ya kujazwa uzalendo uchwara kama ww.Askofu Gwajima. Usimchukie kisa amewabwaga jimbo la kawe. Habari za kusujudia sanamu zinatoka wapi? Dish linazidi kuyumba?
Ahaaa, uzalendo uchwara?Naenda wiki ijayo, nikija humu na mimi nitakuwa naimba sifa za mtukufu jiwe, baada ya kujazwa uzalendo uchwara kama ww.
Unauliza au unapigia jibu mstari?Ahaaa, uzalendo uchwara?
Uzalendo uchwara? Nashangaa hii kauli yako.Unauliza au unapigia jibu mstari?
Uzalendo uchwara? Nashangaa hii kauli yako.
Duh!Inakushangaza nini wakati huo ndio mwenendo wa sasa? Na ww ukiwa mmojawapo.
Basi umejua umuhimu wa upinzania sasa kama kupiga chapuo siyo sera. Chadema iikuwa sera na 2005 na 2010 Dr. SIaa aikuwa anatanga kama sera ya uchaguzi mkuu.Mbona ishu ya elimu bure ilianza kupigiwa chapuo na Nccr mageuzi mwaka 1995, wewe ulikuwa wapi? Na hao waliokuwa Nccr mageuzi walitoka wapi? Sio Ccm?
Sasa we unsema tucta wapo kimya,hebu jiulize kwa wnzi za huyu jamaa kuna taasisi gani inaubavu wa kusema?Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.