Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.

Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?

Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.

Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?

Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?

Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Kabla hujahoji manufaa ya vyama vya upinzani ungeanza kutoa faida ambayo CCM imeleta kwa nchi tangu uhuru ukilinganisha na muda, kodi na matumizi ya rasilimali za taifa hili kama bahari, misitu, madini, gas n.k
Kiufupi tu, CCM ndo wamekuwa wanapokea kodi zetu, wanaingia mikataba kwa niaba yetu, wanaomba na kupokea mikopo kwa niaba yetu n.k. Sasa maendeleo waliyoyafanya yanaakisi muda na rasilimali iliyotumika? Jibu ni HAPANA, na hiyo ndo sababu hawastahili kuendelea kuwa madarakani na ndo sababu wananchi waliwakataa 2015 na 2020 FULL STOP
 
Kwani wewe ni mtoto mpaka uelezwe Ccm imewafanyia nini watanzania? Umezaliwa nini dogo?
 
Kabla hujahoji manufaa ya vyama vya upinzani ungeanza kutoa faida ambayo CCM imeleta kwa nchi tangu uhuru ukilinganisha na muda, kodi na matumizi ya rasilimali za taifa hili kama bahari, misitu, madini, gas n.k
Kiufupi tu, CCM ndo wamekuwa wanapokea kodi zetu, wanaingia mikataba kwa niaba yetu, wanaomba na kupokea mikopo kwa niaba yetu n.k. Sasa maendeleo waliyoyafanya yanaakisi muda na rasilimali iliyotumika? Jibu ni HAPANA, na hiyo ndo sababu hawastahili kuendelea kuwa madarakani na ndo sababu wananchi waliwakataa 2015 na 2020 FULL STOP
Mazwazwa ya Lumumba ni empty head , tabulalasa , bipolar disorder , IQ below zero yaani jitu halijuwi advantages za multipartism , civics ya form two . Labda bado ni litoto toka 1992 vyama vingi vianzishwe hujui mambo gani yamebadilishwa , yamebadilika , sheria ,sera , mikataba , mahusiano ya kimataifa , sasa hivi Jiwe a.k.a Zanzimana kama vyama vingi havina faida anahangaika nini na kina Halima Mdee a.k.a Delila Wa Tanzania na genge lake ? Tilioni mbili mtazipata bila wapinzani kuwa wajumbe wa LAAC na PAC kichaa sio lazima uvue nguo . Akili za Zanzimana kutenda kabla ya kufikiri .
 
Wewe mleta MADA mbona mie sikuelewi. Unataka upinzani uletee maendeleo kwa nani ? Wakati mwenyewe anajihita MPINZANI !!! Yeye kazi yake ni KUPINGA hadi serikali wajitahidi kivipi bado wao watapata sababu za kupinga. Mfano ulikua dhahiri Awamu ya tanu ya Dk Magufuli imetuonyesha uhalisia wa upinzani wetu. -ELIMU BURE wamepinga - ONGEZEKO LA MAPATO wamelipinga -UJENZI WA MIUNDO MBINU wamepinga. - UJENZI WA VITUO VYA AFYA NCHI NZIMA Wanapinga. -UBORESHAJI WA USAFIRi WA ANGA , BAHARINI, NA ARDHU KAVU zote wanazipinga. Hadi utajiuliza UPINZANI WA VYAMA VETU VYA TANZANIA VINAPINGA KILA HATUA YA SERIKALI.? Iwe nzuri au baya ?
 
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.

Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?

Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.

Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?

Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?

Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Chama Chako pelee ndio kimewahi kunufaika nao.
 
Yaani pumba zingine, nchi iongozwe na ccm halafu wewe uwalaumu upinzani?

matatizo yote ya Tanzania ni kwasababu ya uongozi wa ccm.
 
Ndiyo zote kubwa, ikiongozwa na richmond hadi kafulila alifikia kuitwa tumbili, halafu wana CCM walipambana sana kuwalinda wahusika, hadi kuna mbunge wa CCM ambaye Asumpta Mshana alifikia hadi kuwalaumu wanaoungana na wapinzani kuwakaanga wahusika kuwwa siyo wana CCM, inaelekea wana CCM hulindana kwenye ufisadi.

Kafulila ni ESCROW.... Richmond, EPA and the like ni kina Slaa et al.
 
Kamanda bandiko wazi mbona haujaibu kama tumenufaika?
Sasa upinzani utanufsishsje nchi kiuchumi,wakati sio mkusanya Kodi?mwenye Dola ndie adaiwe maendeleo,maana ndie ansyekusanya Kodi,anspokea misaada ya fedha,sera zinazotumika ni zake,
Swali hapa,ni je kwanini Malysia,vietnam,china,singapore,wametuacha mbali kimaendeleo wakati 1967,tulikuwa level moja?Lumumba jibuni? Mpaka leo hii,hata kuwa na nyumba vya madarasa vya kutosha hatuwezi!
Ni makelele tu,na uteuzi
 
Kuna wazalendo wapenda nchi hii waliwapa ili waziibue. Kwa hiyo ni Ccm iliwatumia tu akina Dk Slaa.
Akili yako ilivyo finyu inaamini kila mtumishi serikalini ni mwanaCCM!Nafasi za kisiasa ndio za makada,lakini nafasi zinazohitaji utaalamu na watu wakaajiriwa sio za kikada!Mfano mtumishi BOT akivujisha siri watu kuchota pesa kama ilivyokuwa kwa EPA haina maana ni CCM ndio imevujisha bali mtanzania mzalendo!Sasa anampa taarifa hizo nani?Kwanini mara nyingi walipewa wapinzani?Wakati mwingine zilivujishwa mitandaoni na wapinzani wakakomaa nazo mpaka zikaleta tija!
Leo hii mnamsifu JPM kwenye madini,lakini mnasahau huko nyuma Zitto kabwe ndio aliibua swala la mrahaba wa 3% Buzwagi,akapiga kelele bungeni mpaka miCCM ikamfungia miezi 4 kutoshiriki bunge!Na JPM alikuwa kwenyw hilo hilo bunge lililomfukuza!

Zitto kaibua lingine la ndege,anasema tumepigwa kwenye manunuzi!Ila kwakuwa ATCL na manunuzi yake vimepigwa chini kukaguliwa na CAG hatuwezi kujua ukweli!
Pengine ipo siku atakuja Rais ambaye atafukua uchafu na kuwajibisha watu halafu mkamsifia tu kulingana na upepo wa kipindi hicho!
 
Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania
Hivi ruzuku ya CHADEMA inahusiana vipi na maendeleo ya watanzania na uchumi wqa mwananchi mmoja mmoja ?
Acha ushenzi dogo. Kama huna ya kuandika kaa utulie
 
Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?
Wanapopinga ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka hawajawasaidia watanzania ?

We unataka wawasaidieje ? Wampe kila mwananchi hela ya kula ?

Shenzi zako
 
Kiwango cha akili yako kimeishia hapo Kwani Ccm hawawezi kupinga ufisadi?
 
Kwani kujifunza Kupinga kila Kitu Mitandaoni, Kuichukia CCM pasipo sababu na Rais Magufuli na Kupanga Maandamano siyo Faida yao Wapinzani?
 
Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 Mtawala ni CCM (TANU halafu na Afro Shiraz); sasa wewe kuja kuanza na kulaumu upiknzani kwa makoza yenu sijui unashindwaje kutengeneza point hapo? Kweli mnajitoa ubongo.
Ukifika mtaa wa kijani sharti ubongo upokelewe getini.
 
Back
Top Bottom