Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

Kuna wazalendo wapenda nchi hii waliwapa ili waziibue. Kwa hiyo ni Ccm iliwatumia tu akina Dk Slaa.
Kwanini hao wazalendo hawakuwapa wabunge wa CCM? kwanini waliwapa wabunge wa upinzani jibu hili swali?
 
Yani wewe na wenzako mnaoisifia serikali ya CCM hamna tofauti na mtu watu waliyemkabidhi shamba la hekari 1000, lenye kila kitu kuanzia matrekta, mfumo wa umwagiliaji alime alisimamie halafu mwisho wa siku analeta gunia mbili za mahindi na watu wanasema kapambana kweli nafaa
Mfano wako hauna mashiko,na ulichopost ni pumba tu. Jibu swali hao wapinzani walishakunufaisha nini?
 
Kwa sababu akili yako ni ndogo hata nikikujibu huwezi kuelewa.
Kwasababu huna jibu upo upo tu umeanzisha mada lakini huna hata hoja unajibu jibu tu kama mtoto wa darasa la kwanza. Kwanza napoteza muda kujadili mada na zazwa kama wewe
 
Jambo usilolijua ni usiku wa kiza.
 
Kwasababu huna jibu upo upo tu umeanzisha mada lakini huna hata hoja unajibu jibu tu kama mtoto wa darasa la kwanza. Kwanza napoteza muda kujadili mada na zazwa kama wewe
Nilitaka nikushauri hivyo hivyo kuwa achana naye huyu zwazwa. Usipoteze muda kujibu upuuzi wake. Mada zake nyingi huwa ni za kipumbavu tu
 
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.

Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?

Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.

Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?

Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?

Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Faida unayoipata kutoka upinzani ni deal za kishenzi haziwezi kupigiwa hadharani mfano Kama chenji ya rada,richmond na epa kwa uchache ni matokeo ya upinzani so usikalili anayekusaidia mpk akuletee pesa mkononi kuna wanafanikisha ww kupata kazi ili uipate kazi naye ni msaada kwako mkuu🙏🙏🙏
 
Upinzani ni kama baba kwenye taifa kwasababu hujawaza vizuri huwezi ona faida za upinzani
Tuishi hii mitano ili upate majibu ya swali lako
 
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.

Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?

Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.

Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?

Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?

Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Haijawahi kufaidika zaidi ya kupata hasara na kuwaongezea watu kiwango cha umasikini kwa kutokusikiliza ushauri wa wapinzani

Mfano: Ni ushauri na kelele zilizopigwa na wapinzani kuhusu korosho matokeo yake wakijiona wao mabingwa yaliyotokea umeyaona

Lakini pia labda faida inayoweza kuonekana ni baada ya kujua kuwa upinzani kuna watu wanaojielewa ambao wakinunuliwa kwa pesa wanaweza kusaidia uongozi wa chama na serikali kuliko wale UVCCM

Mfano: Ni mfumuko wa ununuzi wa vijana kutoka upinzani ilikushika nyadhifa muhumu za uongozi ndani ya chama na serikali kwa ujumla yanayoendelea tunayaona

MAENDELEO YANA CHAMA LAKINI SIO CCM!!!
 
Kwani kamanda suala la serikali kununua korosho limewanufaisha wakulima limewadidimiza? Maana inasemekana madalali walitaka kuwadhulumu bei.

Hayo majembe unayodai yalinunuliwa yalikuwa ni majembe ya upinzani wa kweli au ndio huu unaoleta nongwa ukikosa ruzuku?
 
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.

Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?

Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.

Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?

Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?

Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Wewe mwenyewe unakiri kwamba watanzania wanahitaji maendeleo. Sasa kwa nini hawayapati wakati wamekuwa wakiwaweka madarakani miaka yote?
 
Umeandika kama JPM kabisa!!
Poleni watanzania

Una uhakika Tanzania hakuna maendeleo? Tanzania ya mwaka 1985 ndio hii ya leo?
 
"Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?"

Hayo maneno hapo juu ndiyo uliyoandika wewe mwenyewe. Au hakuandika wewe? Akili zenu zipo mahali fulani
 
Wewe umeyaelewa vipi?
 
Back
Top Bottom