sekulu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 988
- 158
Mbowe, na wabunge wote wa upinzani, plus red Bridgade!Red brigade?
Mbowe, na wabunge wote wa upinzani, plus red Bridgade!Red brigade?
Dogo acha kukurupuka, hivi unajua ni nani alikuwa anavujisha hizo skendo?Ndiyo zote kubwa, ikiongozwa na richmond hadi kafulila alifikia kuitwa tumbili, halafu wana CCM walipambana sana kuwalinda wahusika, hadi kuna mbunge wa CCM ambaye Asumpta Mshana alifikia hadi kuwalaumu wanaoungana na wapinzani kuwakaanga wahusika kuwwa siyo wana CCM, inaelekea wana CCM hulindana kwenye ufisadi.
Ndio hasara tulizopata toka vianzishwe.Vyama vya upinzani ni vizuriiii saanaaa na vina Sera ambayao inaweza kuwa mbadala wa ccm hapo baadae, tatizo lao niviongozi wao ndo hawafai kuviongoza. Mfano kwenye uchaguzi wa mwaka huuu, hakunachama cha upinzani kilicholeta mgombea anayekidhi wadhifa wa kuwa raisi wa taifa hili ilikuleta ushindani thabiti dhidi ya chama tawalaa.
Dogo ni wewe unayefanya assumptions, na kama kuna aliyekuwa anazivujisha kwanini hakuzipeleka kwa wabunge wa CCM akawapa upinzani, kwasababu anajua CCM wanalinda ufisadi wao kwahiyo ni chama cha kifisadi, hivyo kama aliwapa wapinzani alijua wapinzani wataokoa jahazi na wakaokoa kweli kutoka kwenye genge la mafisadi wa CCM.Dogo acha kukurupuka,hivi unajua ni nani alikuwa anavujisha hizo skendo?
🙏Sidhani kama na wewe ni mmojawapo
Wewe na hiyo CCM yako miaka 50 na zaidi sasa bado tunapigana na madawati na rasilimali zote tulizonazo, bado vituo vya afya havitoshi, ni sawa nchi ipo ipo tu haina dira, halafu lawama wapewe upinzani, hivi ni akili au matope?Ndio hasara tulizopata toka vianzishwe.
Goja nimuite @erthrocyteNi kweli una umuhimu,lakini je ulishalinufaisha hili taifa tangu lianzishwe?
Mbona Kafulila aliyezikomalia Skendo ya Escrow sasa hivi yupo Ccm. Dk slaa aliyeibua Skendo nzito za ufisadi yupo wapi?Dogo ni wewe unayefanya assumptions, na kama kuna aliyekuwa anazivujisha kwanini hakuzipeleka kwa wabunge wa CCM akawapa upinzani, kwasababu anajua CCM wanalinda ufisadi wao kwahiyo ni chama cha kifisadi, hivyo kama aliwapa wapinzani alijua wapinzani wataokoa jahazi na wakaokoa kweli kutoka kwenye genge la mafisadi wa CCM.
Unapo elekea utasema ata Serikali hamnaTz hakuna upinzani bali Saccos za viongozi
Nimelaumu au nimeuliza? Walishatupa manufaa gani wapinzani? Tumia akili dogo.Wewe na hiyo CCM yako miaka 50 na zaidi sasa bado tunapigana na madawati na rasilimali zote tulizonazo, bado vituo vya afya havitoshi, ni sawa nchi ipo ipo tu haina dira, halafu lawama wapewe upinzani, hivi ni akili au matope?
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.
Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?
Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.
Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?
Leo hii watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania watanzania?
Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa,sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Wakati wanaziibua walikuwa upinzani, wamerudi CCM kama walivyo CCM uwa wanalinda ufisadi nao wameamua kulinda ufisadi huko. Wamechoka maana wantumia nguvu nyingi kuibua madudu ya serikali ya CCM na CCM wanatumia nguvu nyingi na dola kuyaficha wameamua nao wakale tu huko huko kwa mafisadi. Kumbe unakiri kuwa waliyaibua maskendo eh? Safi sana basi ndiyo mazuri ya Upinzani hayo maana waliyaibua wakiwa upinzaniMbona Kafulila aliyezikomalia Skendo ya Escrow sasa hivi yupo Ccm. Dk slaa aliyeibua Skendo nzito za ufisadi yupo wapi?
Manufaa waliyotupa umeyataja mwenyewe hapo juu kuwa Kafulila na Slaa wakiwa upinzani waliibua skendo, au hayo si manufaa we dogo? Mbona una akili kibabaNimelaumu au nimeuliza? Walishatupa manufaa gani wapinzani? Tumia akili dogo.
Mkuu, ulishawahi pia kujiuliza ni jinsi gani tumenufaika na CCM....!!Sio mada ya kitoto kamanda, kwani mpaka uingie bungeni ndio uwe na hoja zenye mashiko?
Nimesema waliziibua? Au walichomekewa wazikomalie? Dogo uko sawa?Wakati wanaziibua walikuwa upinzani, wamerudi CCM kama walivyo CCM uwa wanalinda ufisadi nao wameamua kulinda ufisadi huko. Wamechoka maana wantumia nguvu nyingi kuibua madudu ya serikali ya CCM na CCM wanatumia nguvu nyingi na dola kuyaficha wameamua nao wakale tu huko huko kwa mafisadi. Kumbe unakiri kuwa waliyaibua maskendo eh? Safi sana basi ndiyo mazuri ya Upinzani hayo maana waliyaibua wakiwa upinzani
Yani wewe na wenzako mnaoisifia serikali ya CCM hamna tofauti na mtu watu waliyemkabidhi shamba la hekari 1000, lenye kila kitu kuanzia matrekta, mfumo wa umwagiliaji alime alisimamie halafu mwisho wa siku analeta gunia mbili za mahindi na watu wanasema kapambana kweli nafaaNimelaumu au nimeuliza? Walishatupa manufaa gani wapinzani? Tumia akili dogo.
Kuna wazalendo wapenda nchi hii waliwapa ili waziibue. Kwa hiyo ni Ccm iliwatumia tu akina Dk Slaa.Manufaa waliyotupa umeyataja mwenyewe hapo juu kuwa Kafulila na Slaa wakiwa upinzani waliibua skendo, au hayo si manufaa we dogo? Mbona una akili kibaba
Iwe walichomekewa iwe waliibua, aliyewachomekea kwanini hakuzichomeka kwa wabunge wa CCM? ni kwamba aliona hawana faida watalinda ufisadi.Nimesema waliziibua? Au walichomekewa wazikomalie? Dogo uko sawa?