Hivi Nchi za Mashariki ya kati zinatofauti gani na wananchi wa Tanzania?

Hivi Nchi za Mashariki ya kati zinatofauti gani na wananchi wa Tanzania?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni.

Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi ya Israel kuvamia eneo lolote kwa mabavu huku wakibakia kuangalia na wengine kukemea/kubweka kama mbwa.

Tunasafari ndefu na hizi soga tunazoita demokrasia,haki za binadamu.

Kwanini Marekani anazisapoti nchi kama Rwanda, Tanzania, Uganda n.k lakini alisambaratisha legency ya Gadafi? Kuna hoja gani ya Demokrasia katika hizi nchi nyengine tofauti na hizi za waarabu au hizi zinazovamiwa na kitupiwa shutuma za ukandamizani wa demokrasia lakini wengine kama Rwanda na Uganda, Tanzania zimebakia huru?

Tueleweke demokrasia ina maama ya soko/uhuru bandia ili kuendeleza unyonyaji.
 
Unataka vurugu za mashariki ya kati ndio zifanyike rwanda, uganda na tanzania? Hizo nchi ni tofauti na hizi zingine. Shangaa nchi hizo zina vurugu lakini uchumi wao uko juu kuliko hizo nchi unazotaka zishushiwe vurugu na marekani. Unataka watu wakajifie maporini kwa njaa?
 
Back
Top Bottom