Kuna kipindi niliishi porini penye ndege wengi walikuwa wakila mahindi lakini sijawahi kumwona aliyekufa naturally bila kupigwa na manati
kuna reli ipo road na hamsemi?Hii mada ni ya kututoa kwenye reli,ipuuzeni.
Kama death tu inamshinda anaandika dearth, ataelewa kweli hiki?
Sio ndege tu.Asalaam aleykhum..
Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao?
Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu?
Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani
Au wanazikana 🤣?
Hili swali gumu sana ndomaana wengi wanaleta majibu ya kitoto kwasababu hajui na hawana jibu.Sio ndege tu.
Viumbe vingi vikifa natural death, sio rahisi uone mizoga yake. Nature inamalizia kusafisha haraka. Kunakuwepo na viumbe vingine "vinapita na hiyo mizoga".
Umewahi kuona mzoga wa mjusi uliojifia wenyewe ndani ya nyumba? Hata mifupa huioni..
Labda aliyebanwa na dirisha nlimuona mjusi juzi, halafu na mende wakifa nawaonagaSio ndege tu.
Viumbe vingi vikifa natural death, sio rahisi uone mizoga yake. Nature inamalizia kusafisha haraka. Kunakuwepo na viumbe vingine "vinapita na hiyo mizoga".
Umewahi kuona mzoga wa mjusi uliojifia wenyewe ndani ya nyumba? Hata mifupa huioni...